Mwanaume kutamka ni "Sheedah"

Mwanaume kutamka ni "Sheedah"

Kama unafahamu mashoga wapo shida inatoka wapi mkuu...kua busy na ishu zako,
 
Mkuu nimecheka sana.

Mkuu, liliniudhi kweli mara linanikunja kola ya shati vizuri, likiongea linanipigapiga mabegani kama demu ila aliniudhi alivyoniita dear nikamtwisha kisago heavy halafu siku ya pili nikaliomba msamaha nikasema nilillewa na lenyewe likasema USIJALI WANGU, nikasema umeanza tena?
Safari hii likasema sore broo unajua mazingira!
Ila majitu yanaudhi kweli haya.
 
Ukijisikia kununa ingia Jf usuuze nafsi yako.... nimechekaje
 
Ni dalili ya ushoga. Haipendezi kabisa rijali kutamka ivo.

Au mengine unakuta yanamalizia na ......je, mwisho wa neno! Mfano: nilichekaje, nililiaje, utanijuaje, utanipendaje, utanikubalije, n.k Yaani Mkuu kuna mijitu inaudhi sana! Wanaume hebu tutofautishe maneno ya kike na kiume!!
 
jamani mimi mshamba hilo neno lol lina maana gani kwani? maranyingi nimeliona na sijui maana yake
 
jamani mimi mshamba hilo neno lol lina maana gani kwani? maranyingi nimeliona na sijui maana yake

ni advancement ya neno shida. si unajua tena kujifanya watoto wa mjini na usomi wa hapa na pale... wakaamua kuita ''sheedah''.. dadeki.
 
Ukijisikia kununa ingia Jf usuuze nafsi yako.... nimechekaje

pia mwanaume kuongeza neno ''je'' mwisho wa neno ni ishara mbaya!
Mfano: ''Nimekoma-je''
 
Back
Top Bottom