Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
yupo, si huyu hapa kan'tangaze na mpaka saa 09:38 amekuwepo hewani!
Weeeeeeeee..m dada mie.ushndwe kabsa
Last edited by a moderator:
yupo, si huyu hapa kan'tangaze na mpaka saa 09:38 amekuwepo hewani!
Weeeeeeeee..m dada mie.ushndwe kabsa
Weeeeeeeee..m dada mie.ushndwe kabsa
Utakua tayari unadalili.
Au mengine unakuta yanamalizia na ......je, mwisho wa neno! Mfano: nilichekaje, nililiaje, utanijuaje, utanipendaje, utanikubalije, n.k Yaani Mkuu kuna mijitu inaudhi sana! Wanaume hebu tutofautishe maneno ya kike na kiume!!
uwiiiiiii
lol
kumuita mwanamme mwingine dear
Au dume zima utalisikia linasema '...kan'tangaze'
uwiiiiiii
lol
kumuita mwanamme mwingine dear
Unamwita mkiu au unajaribu kumtania?
ha ha ha ID zingingine ni sheeder kujua kama ni he/shepia mwanaume kuongeza neno ''je'' mwisho wa neno ni ishara mbaya!
Mfano: ''Nimekoma-je''
Kuna lidume lilinita hivyo siku moja nililitwisha makonzi!