antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 45,090
- 121,577
Wanataka vyote mkuu..Wanataka hela tuuu
Utavumiliwa kwa miezi sita, kama unaumwa au kuna janga seriously lilikukuta ntakuelewa.
Ila ikiwa ni uvivu wa kitambi au uchovu wa bia za jioni utanisamehe
duh...sasa nawezaje kujua anachokitaka....nimuulize tu moja kwa mojaπUmekutana na waoga
Au kuna namna umefanya anakuogopaga huyo mtu wako
Kwa haraka sio rafiki yako ni mpenzi wako tu.
Tatizo ni uhitaji wa utamuπWanataka usichompa..ukimpa pesa atataka ulmidhishe, usimpolidhisha atataka pesa...sasa dawa yao ni kutowapa vyote.
Sikiliza!!!duh...sasa nawezaje kujua anachokitaka....nimuulize tu moja kwa mojaπ
duh.....vile nina uchungu na pesa yangu itabidi nijielimishe kuhusu hivi vitu aisee πSikiliza!!!
Unajua wanawake wanaridhishwa na wanawake wenzao kuliko wanaume .. systematic touchings in hotspots... reading your partner waves...
Mwanaume anayejali lazima hii kitu uwe nayo. So bila hata uume mwanamke uliyekwisha kutoka naye zaidi ya mara tatu waweza kumkojolesha
Daah watu tunatofautiana asee...situmiagi hela kabisa mimi na mara nyinge hawa ke huwa ndo wananifata...be a man with value....utaona ke wanamiminika umpi ,pesa wala humkojozi lakini anakufata kama kupe.Tatizo ni uhitaji wa utamu
Lazima uingie kingi tuu
Daah watu tunatofautiana asee...situmiagi hela kabisa mimi na mara nyinge hawa ke huwa ndo wananifata...be a man with value....utaona ke wanamiminika umpi ,pesa wala humkojozi lakini anakufata kama kupe.
Ukiona hakwambii Google pengine anashindwa kusema sababu unaweza kuwaza huyu kuna mtu huwa anamfanyia hivyo.Hapo ndipo wanawake wanakosea wanategemea tutabiri hisia zao badala ya kusema nini wanachotaka sisi sio Malaika.
Hatari! Sii mchezoπ€£π€£π€£π€£Utavumiliwa kwa miezi sita, kama unaumwa au kuna janga seriously lilikukuta ntakuelewa.
Ila ikiwa ni uvivu wa kitambi au uchovu wa bia za jioni utanisamehe
Google tena wakati mwanamke mdomo anaoπ²Ukiona hakwambii Google pengine anashindwa kusema sababu unaweza kuwaza huyu kuna mtu huwa anamfanyia hivyo.
Aisee! Hatari! Sasa pesa uwe nayo na kutomber uwe unajua piaπ€π€π€ mbona kitesana hukoWanataka vyote mkuu..
Umfikishe na pesa juuπ
ππ
Aliye kwako mzuri kwa mwingine ni mbayaWanaume wanapiga sana kelele kua wanawake wanapenda wanaume wenye pesa/uwezo wa kuwahudumia, lakini kwa nini hatuwasikii wanawake wakilalamika kua wanaume wanapenda wanawake wenye muonekano mzuri?
Wanawake wanauwelewa mkubwa sana na nature ya mwanadamu.
Kama vile wanaume wanavyopenda wanawake wazuri/warembo ni sawa tu na wanawake kupenda wanaume watakaoweza kuwahudumia.
Shida inakuja mwanaume unataka mwanake mzuri halafu hauko tayari kuwahudumia, ni lazima ulizwe. Sifa ya mwanaume ni kuhudumia
Mim nachosema
KWA MWANAUME MASIKINI AU ASIYE NA HELA SALAMA YAKO NI UHAKIKISHE MDADA/ MMAMA ANAFIKA
....fanya ufanyavyo ila hakikisha amefika. Fanya hata uchafu hiyo ndio ajira yako vinginevyo mtuondokee
Hujui wanawake vizuri unaweza mpa vyote hivyo ulivyovitaja akakulalamikia huna tyme nae au hujui kucareWanataka vyote mkuu..
Umfikishe na pesa juuπ
ππ
FactInatakiwa kuwa na utimamu wa akili kulijadili hili na sio akili za mlipuko wa hisia.
Sasa nitakuuliza mfano Mwanaume akaja muoa dada yako mzuri sana. Na huyo mwanaume anapesa na anatoka familia ya kujiweza. So dada yako ana uhakika wa kupata mahitaji yote atakayo hadi uzeeni.
Je umri unavyozidi kwenda dada yako ataendelea kuwa na uzuri ule ule wa usichana hata akifika umri wa miaka 40+ ?
Maana huyu mwanaume anauhakika wa kuendelea kuwa na pesa hadi wakati huo na pengine pesa zitaongezeka mara dufu.
Mwanamke na mwanaume wana mahitaji natural. Ukitaka kuyafahamu rejea maisha ya kijijini yale maisha ya asili bila hizi material things yaani haya maisha ya mjini. Hapo ndipo utajua kuwa mwanamke kwa sasa anahisia zinazoendeshwa kwa tamaa na sio ukweli au uhalisia.
Mwanamke anatazama video za muziki anaona ile lifestyle ya wanawake wa marekani mara wameshika iPhone 14 pro max, magari ya bei, nyumba, mavazi, zile hotel mitoko basi ubongo wake unashawishika kuvitamani vile vitu na anataka kijana wa kitanzania ambaye hata kumudu kumnunulia Infinix ya laki mbili ni mtihani ampatie hayo mahitaji ambayo jumla yake ni mamilioni ya shilingi.
So mwanamke ambaye anaendeshwa na tamaa anakuwa hana tofauti na mtoto mdogo anayeamini baba yake anaweza mnunulia chochote anachotaka hata akitaka usiku wa manane na asipopewa basi kilio kinaanza.
Sasa kama ndio wanawake wenyewe ndio wapo hivi na tunatakiwa kujenga nao familia na jamii basi tumeshafeli. Maana sisi wanaume tunaishi kwenye uhalisia na sio ulimwengu wa tamaa.
Hiyo miili ya wanawake unayosema tunavutiwa nayo ni maumbile waliyopewa free na MUNGU hawajalipia wala kugharamia hata mia moja wao kwann waweke dau ili sisi kuwa nao baada ya kuvutiwa na uzuri wao?
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Ninaamini ni wazi kabisa (na pia imethibitishwa na sayansi) kwamba upendo na mvuto hautokei kwa kujitenga bali ni matokeo ya sababu kadhaa zisizo tu za kibaolojia/kijenetiki, bali pia za kitamaduni.Wanaume wanapiga sana kelele kua wanawake wanapenda wanaume wenye pesa/uwezo wa kuwahudumia, lakini kwa nini hatuwasikii wanawake wakilalamika kua wanaume wanapenda wanawake wenye muonekano mzuri?
Wanawake wanauwelewa mkubwa sana na nature ya mwanadamu.
Kama vile wanaume wanavyopenda wanawake wazuri/warembo ni sawa tu na wanawake kupenda wanaume watakaoweza kuwahudumia.
Shida inakuja mwanaume unataka mwanake mzuri halafu hauko tayari kuwahudumia, ni lazima ulizwe. Sifa ya mwanaume ni kuhudumia