Papillon 1906
Senior Member
- Jun 19, 2025
- 187
- 652
Kuna madhara unayoweza kuyapata katika mwili wako kama hauta weza kuoga baada ya kufanya mapenzi.
Baada ya tendo watu wengi upendelea kupata mda wa kupumzika kwa muda kiasi kutokana na kauchovu fulani hivi, wabobevu wa mambo wanasema baada ya tendo usipuuze usafi wa mwili wako.
Kuna madhara unayoweza kuyapata endapo utapuuza kuoga baada ya jimai kama vile UTI, kwasababu bakteria wanao sababisha na kueneza UTI ni rahisi kufikia njia ya mkojo hasa kwa wanawake.
Ndio maana inashauriwa kukojoa na kuosha sehemu za siri baada ya kunjunjana.
Pia kubadilishana harufu hii utokana na jasho la mwenza wako na umateumate unaotokana na tendo hilo kusababisha harufu kali ya mwili, kimsingi hii aina hatari kubwa sana.