Nimesoma Science ,naweza tengeneza system kama hii ya jamii forum na zaid .Nimesoma vitendo siyo maneno.Faida niliyo nayo ya elimu yangu inanitosha.We unasema nirudi shule hakika unakosea sana ,ungenijua na vitu ninavyofinya usingenitukana.Nafanya vitu kwenye science vinayofanywa na wazungu.Dogo nakuhurumia sana, kama kuna uwezekanano rudi shule, degree hewa hiyo dogo.