Mwanasheria mkuu mpya wa Serikali ni dhaifu sana!

Mwanasheria mkuu mpya wa Serikali ni dhaifu sana!

zamani nikiwa bado Form 3 nilikuwa nasoma tabora boys mwaka 2004,nikaja huku dsm rikizo ya mwezi wa kumi na mbili kwa shangazi yangu aliyekuwa anaishi karibu na ubungo plaza kwenye nyumba za national house.Alikuja Masaju akawa anamsimulia shangazi,kuna kesi alitoka kuisimamia kama wakili wa serikali morogoro ilikuwa kati ya serikali na tajiri mmoja wa kihindi.Alipofika Morogoro kesho yake ndiyo kesi yenyewe alifikia guest ya kawaida alafu akajifungia ndani tu siku nzima,akawaambia wahudumu akija mtu kumuulizia aseme hamna mgeni.Basi yule Mhindi alihaha siku hiyo kila guest Morogoro akienda anamuulizia anatembea na picha yake anaenda anaulizia amefika mgeni anaonyesha picha yake.Yule mhindi alitaka amhonge kabla hawajasimama mahakamni.Mhindi alimkosa Morogoro nzima.Nayeye alilijuwa hilo,nayeye hakutaka hata kuonana naye.Kesho yake wakati wakesi mahakamani mhindi mbele ya hakimu anashangaa kumuona ghafla na ni mbele ya mahakama.Alifanya mambo kwa haki pasipo influence ya rushwa.Ni mtu wa dini sana na mpenda haki.Mimi Mwenyewe ni Graduate mwaka 2011 pale UDSM sijapata ajira ,nachukia system iliyopo ,inayoendekeza urasimu.Cake ya taifa inaliwa na watu wachache katika taifa.Viongozi wanatembea na maprado na maisha ya kifahari huku wengine wakiwa katika umasikini wa kutisha.Tofauti na wakati wa Nyerer e cake ya taifa ilikuwa inagawanywa kwa watu wote kwenye taifa,Mbuge wa zamani wakati wa nyerere ukimumuona saiz huwez kuamin kama alikuwa mbuge,cake ya taifa ilikuwa inagawanywa kwa watu wote sawa.Uingereza yenyewe Siasa siyo se hemu ya kutokea ni kazi ya kujitolea.Nimeona nilisemee hili siyo kwamba namtetea.

Graduate huwezi kujieleza aisee kazi utaishia tu kuzisikia
 
Na morogoro hakuna mawakili wa serikali?

wakili wa gvt kutoka makao makuu anaweza kwenda kuitetea serikali mkoani kutegemeana na uzito wa kesi yenyewe mwaka 2013 wakil boniface stanslaus (marehemu sasa kama sijakosea) alienda kuokoa jahazi kesi dhidi ua rpc wa mwanza na wenzake dhidi ya kampuni moja ya madini highcourt mwanza. haimanishi mwanza hakuna state attorney. depends on circumstances
 
​duuuhhh dogo kalala mbele, kapigwa mawe hadi kaukimbia uzi wake mwenyewe nadhani huyu atakuwa mwajiriwa mpya wa Lumumba huku mitandaoni so bado hajawa expert kama wenzio
 
Huyo mwanasheria amewekwa hapo ili kulinda maslahi ya wakubwa, hakuna kingine.

Ati Masaju aliwahi kuwa mshauri wa sheria wa Rais? Du!! Huyu jamaa ni mweupe, mweupe kuliko, nafuu Werema mara mia. Hivi kweli tupate kesi kama ya Kenya ICC, huyu Masaju anaweza kusimama The Hague kama AG wa Kenya Prof Githu Muigai? Hawezi hata kujieleza jamani? Yaani Kikwete kwa huyu Masaju ni zero kabisa.
 
Na tundu lissu anawajua kuwa wote mnapewa vyeo kishkaji kichwan hamna kitu ndo maana ana wachana chana tu si mambumbu ninyi,yaani kuanzia rais na team yake nzima ya mawazir wote hawamuwez tundu lisau hata kiduchu
yeye huyo unayefikiri anafaa sasa kafanya lipi la ajabu sana mpaka ashtue watu, wengine tunamuona wa kawaida tu, cha zaidi sana kelele zake tu ndio huwa zinaniumiza masikio.
 
MM .. "Kesi ikishaenda mahakamani hairuhusiwi kujadiliwa.."
TL.. "Wewe ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali au wa Bunge?"
Jamaa akanywea kabisa mpaka mwisho! Teh..tehe.. 'Started with the wrong foot'..
 
Tabia yetu ya kuangalia vyeti na kufahamiana ndiko safari hii kutaiumbua serikali ya JK. Huyu Mwanasheria Mkuu aliyemteua hawezi kazi hiyo, kapenyapenya tu kimkandamkanda. Hawezi, hawezi kazi hiyo. Niliwahi kumshuhudia mahakamani kwenye kesi ya Mgombea Binafsi akiitetea serikali. Kuna jaji alifikia hatua ya kumuuliza kama kweli alitoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, yaani alitia aibu. Ati leo ni Mwanasheria Mkuu wa serikali. Ni balaa!!!
 
Wivu wa kidada huo hauna hata mantiki yoyote uwezo wake hautiliwi shaka yuko vizuri ataweza na anaweza wala usihangaike kumchafua unajisumbua dada.
 
Zamani watu walikuwa wanaamini hizi propaganda lakini siku hizi washawajulia sawa na kujitekenya halafu unacheka mwenyewe.
 
zamani nikiwa bado Form 3 nilikuwa nasoma tabora boys mwaka 2004,nikaja huku dsm rikizo ya mwezi wa kumi na mbili kwa shangazi yangu aliyekuwa anaishi karibu na ubungo plaza kwenye nyumba za national house.Alikuja Masaju akawa anamsimulia shangazi,kuna kesi alitoka kuisimamia kama wakili wa serikali morogoro ilikuwa kati ya serikali na tajiri mmoja wa kihindi.Alipofika Morogoro kesho yake ndiyo kesi yenyewe alifikia guest ya kawaida alafu akajifungia ndani tu siku nzima,akawaambia wahudumu akija mtu kumuulizia aseme hamna mgeni.Basi yule Mhindi alihaha siku hiyo kila guest Morogoro akienda anamuulizia anatembea na picha yake anaenda anaulizia amefika mgeni anaonyesha picha yake.Yule mhindi alitaka amhonge kabla hawajasimama mahakamni.Mhindi alimkosa Morogoro nzima.Nayeye alilijuwa hilo,nayeye hakutaka hata kuonana naye.Kesho yake wakati wakesi mahakamani mhindi mbele ya hakimu anashangaa kumuona ghafla na ni mbele ya mahakama.Alifanya mambo kwa haki pasipo influence ya rushwa.Ni mtu wa dini sana na mpenda haki.Mimi Mwenyewe ni Graduate mwaka 2011 pale UDSM sijapata ajira ,nachukia system iliyopo ,inayoendekeza urasimu.Cake ya taifa inaliwa na watu wachache katika taifa.Viongozi wanatembea na maprado na maisha ya kifahari huku wengine wakiwa katika umasikini wa kutisha.Tofauti na wakati wa Nyerer e cake ya taifa ilikuwa inagawanywa kwa watu wote kwenye taifa,Mbuge wa zamani wakati wa nyerere ukimumuona saiz huwez kuamin kama alikuwa mbuge,cake ya taifa ilikuwa inagawanywa kwa watu wote sawa.Uingereza yenyewe Siasa siyo se hemu ya kutokea ni kazi ya kujitolea.Nimeona nilisemee hili siyo kwamba namtetea.

Wewe mpaka umtambulishe Masaju una sifa gani, kwani humu JF tumeku-vet kama mtu mkweli. Tunathibitishaje kuwa unayotuambia ni kweli au unamfagilia tu kama mjomba. Halafu EliHMasi, unapotaka kumtambulisha mtu unayemfahamu lazima utoe taarifa zake za kutodha sio kwa hiyo reference moja tu ya morogoro ambayo pia haina ushahidi wowote.
 
NAmi leo nimemsikiliza kweli kama vile yuko very polite yaani hajachangamka kivilee hasa katika kutetea hoja na matiki yake
 
Ndani ya serikali ya jk uelewa na uwezo ni sifa ya ziada, kwanza ni uana mtandao!
 
Back
Top Bottom