NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,139
mkuu kwani huwezi kutumia lugha nzuri mpaka umdharau mwenzako kiasi hicho. ndio kakosea lakini huwezi jua status yake kuliko ambavyo AG mtu mwenye degrees za sheria alafu hajui kujieleza wala kutetea hoja ya uamuzi wake.