Mwanasheria mkuu mpya wa Serikali ni dhaifu sana!

Mwanasheria mkuu mpya wa Serikali ni dhaifu sana!

Ni kweli ushauri ulikuwa mzuri lakini George alitakiwa kufikiri "nje ya kisanduku" sio copy paste; hatakiwi kuwa robot!!
 
inaelekea humjui vizuri Hugo unayemjadili ndio unaishia kumshambulia kwa hoja nyepesi na za kitoto sana. Ulizia ni kesi ngapi kazisimamia na ameshinda ? kwa tunaomjua Raisi hakufanya kosa kumchagua ni mtu makini sana na mwerevu na Nguli katika sheria

Kwani Rais wetu huwa anakosea?
 
Mnazijua CV zake? au mnaropoka tu? au mnafikiri huyo ni mwanasiasa
 
Leo kaonja sumu ya Tundulisu. Kamwambia yeye siyo mwanasheria wa Bunge, kamwambia yeye ni mwansheria wa serikali hivyo hana mamlaka ya kulielekeza Bunge kisheria.
Tundulisu kamwambia kuwa mwenye mamlaka ya kulielekeza Bunge kisheria ni Katibu wa Bunge na team yake.
Tundulisu ni noma aisee.

Kweli noouma maana yeye hats wakimuongopea lolote nje mradi wamemtumia sms anapayuka tu hataki hatakufanya kautafiti kidogo
 
wewe ndo bogus kabisa. umekidhalilisha chuo ikiwa kama ni kweli ulisoma udsm. tatizo nadhani tulipomaliza sisi chuo walianza kuchukua mpaka wanafunzi wa hovyo hovyo kama wewe. unatuletea habari za vitu ulivyo navyo jamii forum? inahusiana nini na hoja? jamani, hii nchi mbona inazidi kuzalisha watu wajinga wanaojiita wasomi?

afadhari na mwenzio, wewe ni takataka kabisa ambayo haiwez ha kuwa recycled . kazi yako,nyumba ,gari ni vyako wala haviwahusu wanajamii. pumbavu kabisa. haya ondoka nenda kacheze nje na wenzio acha wanaume wajadiliane hapa.

Umemjibu vyema huyo mbwa koko,Mwanadamu mwenye hekima hajisifu kwa mali.Leo unaweza ukawa hai kesho ukafa,hiyo mali utazikwa nayo?.Pia kupata mali ni riziki kutoka kwa Mungu,mpe Mungu utukufu siyo kujisifu kwa watu.
 
Mtu ambae hajui kujieleza utamwitaje ana akili wewe? akili ni pamoja nakujua kujieleza kwa ufasaha!!

Obama mbona muongeaji sana lakin kauporomosha uchumi wa marekani,Utakuwa unakufuru kwa Mungu,Mungu ndiyo anaumba vinywa vya wanadamu.Nabii Musa hakuwa muongeaji kwa taarifa yako lakn Mungu alimtumia.
 
Udhaifu umeanzia kwa aliyemteua kuwa mrithi wa tumbiri Werema
 
Umetudhalilisha wahitimu wote wa shahada ya chuo kikuu cha Dar es salaam 2011,na kwa taarifa yako na mimi nimehitimu hapo mlimani mwaka huo huo na sasa nina kazi yangu nzuri,nina gari langu,ninajenga nyumba,nimeoa na nina mtoto mmoja je wewe mwenzangu utayafanya haya lini?.pole na kwa hii akili yako utumbo utasota sana mtaani na utajipendekeza sana.Sasa ndo umeandika nini???hovyoooo!
Mwanadamu mwenye hekima hajisifu kwa mali.Leo unawezaukawa hai kesho ukafa,hiyo mali utazikwa nayo?.Pia kupata mali ni riziki kutokakwa Mungu,mpe Mungu utukufu siyo kujisifu kwa watu.Mimi siwezi kukuambia nina nini nitakuwa sina hekima kama wewe.
 
Lazima wewe kwenye kikao chake na watu wake ulikuwepo na ulitamani wewe au mtu wako au apewe cheo hiko lakini haikuwa hivyo.
 
Kwa hakika huyu AG mpya ni pigo kubwa kwa watanzania.Kwa kweli amepwaya kupita kiasi!

Tangu aingie ofisini kwa mwezi sasa huwezi kuamini kama ni mwamasheria aliyeiva kiasi cha kupewa cheo kikubwa namna hiyo!

Akiitisha vikao vya kiofisi hadi unamuonea huruma! Kujieleza hajui! Kichwani anaonekana kama haijui sheria kwa kiasi kikubwa mno! Mikataba haijui vizuri kama mtu mwenye cheo cha juu serikalini!

Ikiwa hayo hayajatulia leo akaongea bungeni kwa mara ya kwanza kwenye hoja nzito! Kujieleza kukamshinda tena! Hajui kutofautisha kati ya waziri wa mambo ya nje na waziri wa mambo ya ndani! Hivi kweli Mathias Chikawe ni waziri wa mambo ya nje? Ameishia kutoa maelezo ya juu juu tu eti jambo liko mahakamani lisijadiliwe! Kwa kiwango kipi lisijadiliwe? Kweli ameshindwa kuweka vigezo vya kipi kijadiliwe na ni kipi kisijadiliwe? Mbona spika ambaye ni bush lawyer ameweza?
Miongoni mwa sifa za anayepewa cheo kikubwa kama hicho ni kujiamini na kuhakikisha makosa ya hovyo wakati wa kujieleza hayatokei! Vingine basi huo utakuwa ni udhaifu mkubwa!

Huyu AG kwa kweli ukifanya naye kikao hadi unamuonea huruma! Ni mweupe na asiyejiamini!

Huyu cheo alichopewa ni mzigo mzito kwake na watanzania hatuna siku mbili mtajionea haya ninayowaambieni leo!


Wameweka mtu kiazi ili waweze kumpeleka kama wanavyotaka. Ukiweka mtu muelewa na mweledi lazima ccm itapata shida maana mambo yao mengi ni ujanja ujanja na utapeli usiozingatia sheria za nchi. Ndio hayo ya AG kutoa msamaha wa kodi wakati TRA wapo!
 
Back
Top Bottom