Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
Ana wiki tu kwenye probation yake mshaanza kumchokonoa?Hivi kweli mwanasheria mkuu wa serikari wa sasa. Mh wene atamaliza ata mwaka kweli?
Unawezaje mwanasheria mkuu wa serikari kupeleka document bungeni ya mwezi november 2014. hata jama ilikosewa ameshindwa kuisoma? nina mashaka naye