G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,487
- 39,966
Kwa hakika huyu AG mpya ni pigo kubwa kwa watanzania.Kwa kweli amepwaya kupita kiasi!
Tangu aingie ofisini kwa mwezi sasa huwezi kuamini kama ni mwamasheria aliyeiva kiasi cha kupewa cheo kikubwa namna hiyo!
Akiitisha vikao vya kiofisi hadi unamuonea huruma! Kujieleza hajui! Kichwani anaonekana kama haijui sheria kwa kiasi kikubwa mno! Mikataba haijui vizuri kama mtu mwenye cheo cha juu serikalini!
Ikiwa hayo hayajatulia leo akaongea bungeni kwa mara ya kwanza kwenye hoja nzito! Kujieleza kukamshinda tena! Hajui kutofautisha kati ya waziri wa mambo ya nje na waziri wa mambo ya ndani! Hivi kweli Mathias Chikawe ni waziri wa mambo ya nje?
Ameishia kutoa maelezo ya juu juu tu eti jambo liko mahakamani lisijadiliwe! Kwa kiwango kipi lisijadiliwe? Kweli ameshindwa kuweka vigezo vya kipi kijadiliwe na ni kipi kisijadiliwe?
Mbona spika ambaye ni bush lawyer ameweza?
Miongoni mwa sifa za anayepewa cheo kikubwa kama hicho ni kujiamini na kuhakikisha makosa ya hovyo wakati wa kujieleza hayatokei! Vingine basi huo utakuwa ni udhaifu mkubwa!
Huyu AG kwa kweli ukifanya naye kikao hadi unamuonea huruma! Ni mweupe na asiyejiamini!
Huyu cheo alichopewa ni mzigo mzito kwake na watanzania hatuna siku mbili mtajionea haya ninayowaambieni leo!