NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,139
TL atatuonyesha ubora wake huko mjengoni,wala huhitaji kumsafisha hapa na bunge la bajeti ndio ataaga rasmi
jana ameonja joto ya jiwe toka kwa Lissu, "wewe siyo mshauri wa bunge ni mwanasheria wa serikali, bunge likihtaji ushauri wa kisheria linaenda kwa katibu wa bunge"