Mwanangu wa miaka miwili amesema ameona wachawi

mbuyake

Senior Member
Feb 20, 2013
190
236
Magreat thinker usikuwa wa leo skupata usingizi kabisa baada ya mwanangu mdogo kabisa wa miaka 2 na miezi 8 hivi kushituka usingizini na kutamka maneno ambayo hajawahi kuyatamka kabla tangu ajue kuongea.

Maneno aliyoyatamka ni haya, "wachawi na nyie wachawi nimewaona", sasa alivyoshituka mimi na mama yake pia tulishituka kumsikiliza alivyo maliza tukasikia mkwaruzo juu ya bati, sasa basi kwa ninyi mainteligensi hii ni hali gani?
 
Huyo mtoto atakuwa na yeye mchawi/nyie wazazi mnamfundisha,alishawaona wachawi wapi na amejuaje?
 
Magreat thinker usikuwa wa leo skupata usingizi kabisa baada ya mwanangu mdogo kabisa wa miaka 2 na miezi 8 hivi kushituka usingizini na kutamka maneno ambayo hajawahi kuyatamka kabla tangu ajue kuongea.

Maneno aliyoyatamka ni haya, "wachawi na nyie wachawi nimewaona", sasa alivyoshituka mimi na mama yake pia tulishituka kumsikiliza alivyo maliza tukasikia mkwaruzo juu ya bati, sasa basi kwa ninyi mainteligensi hii ni hali gani?
Huu Uzi nimepanic kichiz hadi leo naogopa kulala pekee yanguw
 
Magreat thinker usikuwa wa leo skupata usingizi kabisa baada ya mwanangu mdogo kabisa wa miaka 2 na miezi 8 hivi kushituka usingizini na kutamka maneno ambayo hajawahi kuyatamka kabla tangu ajue kuongea.

Maneno aliyoyatamka ni haya, "wachawi na nyie wachawi nimewaona", sasa alivyoshituka mimi na mama yake pia tulishituka kumsikiliza alivyo maliza tukasikia mkwaruzo juu ya bati, sasa basi kwa ninyi mainteligensi hii ni hali gani?
Nisiwe muongo ila siwezi kung'amua ni nini kimetokea.
Ila binti yangu akiwa na umri huo kama wa mwanao...tukiwa kariakoo ila sijui ule ni mtaa gani....nilikua nimembeba akaniambia...baba angalia wale hawajavaa nguo...na amekazia macho watu kama watatu walikua wanapita.
Na nilimuuliza zaidi ya mara moja na yeye alikazania kua hawajavaa nguo.
Sijui aliona nini na kwasababu gani...ila ndo ivo.
 
Hayo mambo ni magumu sana.Mtoto kaongea halafu bati linakwaruzwa.Yaweza ikawa ni coincidence tu.Mtoto asisimuliwe hadithi za wachawi/ushirikina na asioneshwe filamu za kutisha zinazohusiana na uchawi.Ataweweseka usiku halafu ihusishwe na ulozi.
Mimi namiliki manati ya mzungu. Mkwaruzo wowote wa bati nalala chalii nakunyoosha mkono juu kitu kinakooa pah pah pah. Yani dari langu kuna vitobo vitobo kibao.
 
Ila siyo wachawi tu watoto wadogo wanaona hadi malaika na ulimwengu wa kiroho. Ila akifikia umri wa kujielewa hii privilege utoweka na kumbukumbu ufutwa ili kulinda mustakabali wa siri kwasababu binadamu akiachwa anavuka mipaka. Ila ni kweli madogo hivi vitu uviona.

Nawashangaa Sana wale huwatesa, kuwanyanyasa watoto.
 
Hujui kuwa mtoto anaona vitu sisi ambavyo hatuwezi kuona? Ndo maana uchawi mwingi unahusisha viungo vya watoto.

Huku ninakoishi nilishawahi sikia kuna mama mmoja alikuwa akiuza chakula, eti wafanyakazi wake walitoa siri kuwa kwenye mboga alikuwa akikorogea ka mkono ka mtoto. Nikawaza jinsi watu wanalishwa uchafu.

Mwingine eti vitumbua vyake kila mtu ndo anavitaka na lazima vigombaniwe, eti nae anakolegea lile tui mkono wa mtoto. Na ni mjini sasa utawezaje jua kuwa kitu ulichokula ni salama?

Mungu tu ndo anatulinda.
 
Magreat thinker usikuwa wa leo skupata usingizi kabisa baada ya mwanangu mdogo kabisa wa miaka 2 na miezi 8 hivi kushituka usingizini na kutamka maneno ambayo hajawahi kuyatamka kabla tangu ajue kuongea.

Maneno aliyoyatamka ni haya, "wachawi na nyie wachawi nimewaona", sasa alivyoshituka mimi na mama yake pia tulishituka kumsikiliza alivyo maliza tukasikia mkwaruzo juu ya bati, sasa basi kwa ninyi mainteligensi hii ni hali gani?
Piga maombi Mzee
 
Nisiwe muongo ila siwezi kung'amua ni nini kimetokea.
Ila binti yangu akiwa na umri huo kama wa mwanao...tukiwa kariakoo ila sijui ule ni mtaa gani....nilikua nimembeba akaniambia...baba angalia wale hawajavaa nguo...na amekazia macho watu kama watatu walikua wanapita.
Na nilimuuliza zaidi ya mara moja na yeye alikazania kua hawajavaa nguo.
Sijui aliona nini na kwasababu gani...ila ndo ivo.
Ukute alikuwa na malaria bila wewe kujua.
 
Back
Top Bottom