Imalamawazo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2021
- 1,343
- 3,285
Wewe unatumia biblia ipi? Biblia Takatifu katika kitabu cha Kutoka 22:18 inasema "usimwache mwanamke mchawi aishi." Unafikiri kwa andiko hilo mtu anawezaje kumtambua mchawi kama hana nguvu za kiroho? Uchawi upo na wachawi wanaonekana. Usipumbazwe na propaganda za wachawi wanaohubiri kuwa hakuna uchawi.Nguvu ya kiroho ya kuona wachawi ni mtazamo wa makanisa ya kisasa,sio mtazamo wa kibiblia