Malaika Gabrieli
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 3,613
- 6,819
😆😆HAhahahah tulia usiku tunakufata ww kukuloga labda ukalale bar
😆😆HAhahahah tulia usiku tunakufata ww kukuloga labda ukalale bar
Ni dini gani ww?Magreat thinker usikuwa wa leo skupata usingizi kabisa baada ya mwanangu mdogo kabisa wa miaka 2 na miezi 8 hivi kushituka usingizini na kutamka maneno ambayo hajawahi kuyatamka kabla tangu ajue kuongea.
Maneno aliyoyatamka ni haya, "wachawi na nyie wachawi nimewaona", sasa alivyoshituka mimi na mama yake pia tulishituka kumsikiliza alivyo maliza tukasikia mkwaruzo juu ya bati, sasa basi kwa ninyi mainteligensi hii ni hali gani?
Watoto ni malaika wanaona yasiyoonekana.
1:Wachawi, malaika,majiniswali namba 1.
Mfano yapi wanaona yasiyo onekana
2.
Je wewe ulivyokua mdogo ulikua unaona yasiyo onekana?
Duuuh! Dunia kwenye ubora wakeHujui kuwa mtoto anaona vitu sisi ambavyo hatuwezi kuona? Ndo maana uchawi mwingi unahusisha viungo vya watoto.
Huku ninakoishi nilishawahi sikia kuna mama mmoja alikuwa akiuza chakula, eti wafanyakazi wake walitoa siri kuwa kwenye mboga alikuwa akikorogea ka mkono ka mtoto. Nikawaza jinsi watu wanalishwa uchafu.
Mwingine eti vitumbua vyake kila mtu ndo anavitaka na lazima vigombaniwe, eti nae anakolegea lile tui mkono wa mtoto. Na ni mjini sasa utawezaje jua kuwa kitu ulichokula ni salama?
Mungu tu ndo anatulinda.