Mwanangu wa miaka 9 amekutwa na Virusi vya UKIMWI, sijui amevitoa wapi?

Upo uwezekano kuwa aliambukizwa gonjwa hilo zamani , kuna kipindi cha mpito tangia mtu kuambukizwa virusi hivyo hadi kuwa ugonjwa kamili ( Transformation from HIV to AIDS ). Pengine Dada aliyekuwa anamlea hapo awali kama miaka 2 ama 3 iliyopita alikuwa anashirikiana naye vitu kama mswaki , nyembe nk na iwapo huyo dada alikuwa na maambukizi kuna uwezekano ndiye aliyemwambukiza . Hivyo hao uliowapima kipindi hiki na wote ikaonekana ni wazima siyo wahusika . Ama fuatilia marafiki zake shuleni
All in all jipe nguvu na ujasiri ili umwanzishie dawa , japokuwa kufuatilia pia ni muhimu ili kuwaepusha wengine
Pole sana mpendwa







 
Hii ya saluni ndio kila kukicha naiwaza,, siku nikipima nikakuta nna ngoma basi 99% saluni ndio itakuwa imehusika.
Kama una uelewa usiruhusu kinyoz akunyoe bila ya kuisafisha mashine. Inatakiwa aisafishe kwa kutumia methylated spirit ya kutosha na brush pia kwa spirit ya kutosha hii njia inaua vvu na bacteria kwa 100% sio ile njia ya kuweka vifaa kwenye ile sterilizer haifai.
 
Hapana mkuu,miaka tisa ni mtoto mdogo,pia hiv si kwa ngono tu kuna njia nyingi
mkuu ndio maana nimesema inahitaji informal utafiti. kuna story nyingi sana za watoto sio kufanyishwa ngono tu bali hata kufanywa kinyume na maumbile.
yupo dogo mmoja aliwahi kubanwa ikaonekana yule konda wa school bus alikuwa anamfanya, tena dogo yule alikuwa ni wa mwisho kwenye kusambazwa.

sio lzm iwe sababu lkn ni vizuri kutafiti, ili kuwasaidia na wengine. ukaribu na watoto wetu ni kitu cha muhimu sana. wanaweza kukwambia mambo mengi. wengine wanafundishwa hadi uchawi na vitoto vyenzao au mabeki tatu.
 
Pole sana Mkuu, kuna vitu kama kuchangia miswaki na sindano. Lakini pia unaweza kukuta mtoto sio wako unaweza kuonana na DNA test.
 
Ushauri wako ni upi mkuu???
 
Pole sana .

Watoto wanamambl mengi sana na miingiliano mingi lkn pia safari yake yamiaka tisa amekutana nakuishi nawatu wengi nambali mbali......kwakweli swali ilo ningumj kupata jibu lake..kwasasa shukru Mungu kwa gumu hilo unalopitia juu ya mwanao.

Zingatia kanuni bora ulizohimizwa juu yake.
 
AIDS is real, HIV is hoax
Acquired Immuno Deficiency Syndrome ni uongo. You cant acquire upungufu wa kinga mwilini. HIV is a hoax na AIDS ambalo ni zao HIV nao ni uongo. Ila UKIMWI ambao kiasili ni upungufu wa kinga mwilini upo na hausababishwi na HIV. Nafikiri umenielewa.
 
Acquired Immuno Deficiency Syndrome ni uongo. You cant acquire upungufu wa kinga mwilini. HIV is a hoax na AIDS ambalo ni zao HIV nao ni uongo. Ila UKIMWI ambao kiasili ni upungufu wa kinga mwilini upo na hausababishwi na HIV. Nafikiri umenielewa.
AIDS ipo mkuu na causes zipo nyingi moja wapo ni malnutrition...HIV/AIDS ndio uongo go & read
 
Ingekuwa nipo tz Mimi ninao mwingi tu unga ningelimpatia.
 
ARV = Death Trap!
I would therefore strongly recommend the following hereunder:
1) Strictly switch to 'dietary meals' kwa huyo little angel, by maximizing on veges & matunda! Epuka kabsa kumpa junk foods/drinks. Mlo wake uwe ni healthy foods tu.
2) Maji safi & salama is part of the package. Anywe maji ya kutosha kwa siku. Better aianze siku na maji ya uvuguvugu yalokamuliwa limao kiasi, anywe asubuh anapoamka on empty stomach.
3) Apate uji-lishe on daily basis asubuh na usku. Better wekamo kijiko kimoja cha unga wa mlonge. Atumie asali tu (mbichi original) kwenye uji, achana kabsa na sukari za viwandani.
4) Mkingeni na infections mbali mbali, mfano Malaria, typhoid, n.k ili kumuepusha kunywa mavidonge (antibiotics) mara kwa mara.
5) Hakikisha ana furaha muda wote, acheke na kufurah.
Then baada ya miezi mitatu hivi au zaid, kwa kuyazingatia hayo mambo 1 to 5, mpelekeni akapimwe tena hicho kipimo cha h.i.v... YOU WILL BE SURPRISED!
-Kaveli-
 
Ana miaka mingapi ndio muhimu, sa ingine kaambukizwa si kwa ngono bali namna zingine.jukumu lako kubwa sasa mpatie matibabu na mwongozo wa kufuata ili arefushe maisha.
 
Njia za kupata HIV zipo Nyingi sana Mkuu japo watu wengi wanafikiri ni KUDO I DO YOU hapana,kuna:-
1.Blood transfusion
2.Ajali(majeraha damu kugusanana na ya muathrika)
3.Kushare vitu vya ncha kali(Hapa ndio nina wasiwasi),may be mtoto wako aliokota kiwembe chenye HIV akakitumia,akakanyanga sindano yenye HIV,akajikata na bati lenye virus etc Hii ndio naona chance kubwa aliyopatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…