Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Kwakuwa inawapa nafasi waramba miguu kama nyinyi muendelee kuwatukuza wafalme wenu.Wengi tu hata mie naona ya sasa inajitosheleza
Kwakuwa inawapa nafasi waramba miguu kama nyinyi muendelee kuwatukuza wafalme wenu.Wengi tu hata mie naona ya sasa inajitosheleza
Ccm hii ni janga la taifaMimi hapa sitaki na wala sihitaji katiba pamoja na mchakato wake wote
Kwa weye hiyo ni wa kununulika na sio kujitafutia? Mweeee!Mimi sitaki kwani inaniletea ugali?
Mimi hapa sitaki na wala sihitaji katiba pamoja na mchakato wake wote
Mimi sitaki kwani inaniletea ugali?
Kwa sababu wapinzani hawajui katiba nini na watu Ni Kina Nani,wao wakiona mtu kagongwa na gari watakuambia katiba mpya itakuwa suruhusho la matatizo ya watu kugongwa na gari,huu si upuuzi a kiwango Cha lami?Kwanini hutaki au ndo una muenzi uyo jamaa mwenye magwanda uchwara
Kwa sababu wapinzani hawajui katiba nini na watu Ni Kina Nani,wao wakiona mtu kagongwa na gari watakuambia katiba mpya itakuwa suruhusho la matatizo ya watu kugongwa na gari,huu si upuuzi a kiwango Cha lami?
Very sorry,au nikufundishe kidogo,a Constitution is a body of laws by which a country or an organization is governed!!!,tatizo ambalo linawafanya wapi -mzani mpiganie katiba Ni swala la kuamini kuwa katiba mpya itampa lisu na Mbowe urais,never and everinaonesha hata hujui katiba ni nini
Very sorry,au nikufundishe kidogo,a Constitution is a body of laws by which a country or an organization is governed!!!,tatizo ambalo linawafanya wapi -mzani mpiganie katiba Ni swala la kuamini kuwa katiba mpya itampa lisu na Mbowe urais,never and ever
Acheni ubinafsi
MaCHADEMA ndio hayataki kabisa yaani kelele tuu hebu ona yanavyodharau katiba yao wenyewe.!