Mwananchi gani hataki Katiba Mpya?

Kwanini hutaki au ndo una muenzi uyo jamaa mwenye magwanda uchwara
Kwa sababu wapinzani hawajui katiba nini na watu Ni Kina Nani,wao wakiona mtu kagongwa na gari watakuambia katiba mpya itakuwa suruhusho la matatizo ya watu kugongwa na gari,huu si upuuzi a kiwango Cha lami?
 
MaCHADEMA ndio hayataki kabisa yaani kelele tuu hebu ona yanavyodharau katiba yao wenyewe.!
 
inaonesha hata hujui katiba ni nini
Very sorry,au nikufundishe kidogo,a Constitution is a body of laws by which a country or an organization is governed!!!,tatizo ambalo linawafanya wapi -mzani mpiganie katiba Ni swala la kuamini kuwa katiba mpya itampa lisu na Mbowe urais,never and ever

Acheni ubinafsi
 
kwanini unazani katiba tunayoitaka itampa lissu uraisi?
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom