Habari zilizotufikia Majirani zake Muda huu kutoka kwa ndugu zake waliokuwa wanamuuguza Hosptitali ya Amana, Amefariki Dunia jioni hii
-------
Tasnia ya Muziki wa Dansi imekumbwa na majonzi makubwa baada ya aliyekuwa Nguli wa Muziki huo, Mzee Hussein Jumbe, kufariki leo Aprili 10, 2023 katika Hospitali ya Amana, alipokuwa akipatiwa Matibabu
Mzee Jumbe maarufu 'Mzee wa Dodo' alitamba kwa nyimbo kali alizowahi kuandika ikiwemo 'Nachechemea' na amewahi kuwa katika bendi za Tabora Jazz, Mara Jazz, Urafiki Jazz, DDC Mliman Park ‘Sikinde’ na TOT Band, Juwata Jazz na Mikumi Sound
Habari zilizotufikia Majirani zake Muda huu kutoka kwa ndugu zake waliokuwa wanamuuguza Hosptitali ya Amana, Amefariki Dunia jioni hii View attachment 2583383
Habari zilizotufikia Majirani zake Muda huu kutoka kwa ndugu zake waliokuwa wanamuuguza Hosptitali ya Amana, Amefariki Dunia jioni hii View attachment 2583383
Yeah mkuu, apumzike kwa amani, binafsi aliniburudisha na kunielimisha, kumbuka Pamela (baba ya muziki),conjesta (sikinde),kipindi nchi Ina heshima na adabu