Mwanamke wa Kitanga ndani ya Daladala

Mwanamke wa Kitanga ndani ya Daladala

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Hawa wanawake wa kitanga wamezid jamani heeeeee.....

Alikuwa kapanda na bwanake kwenye daladala wamekaa siti moja, mwanamke kamchukua bwanake akamuegesha kwenye kifua chake akawa anamuimbia nyimbo za kimahaba, halafu sio kwa sauti ya chini chini ilikuwa sauti kubwa tu mpaka kila mtu akawa anashangaa.

Alipokuwa anashuka akasema "mi ndio mtoto wa kitanga, nimefundwa nikafundika wenye kununa wapasuke twende tukalale laazizi wangu" hahahahahaha
 
Alivaaje??kioini cha pua hana kweli?
 
Huyo atakuwa alikuwa na lager zackutosha kichwani,si bure hapa!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Huyo atakuwa alikuwa na lager zackutosha kichwani,si bure hapa!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
Hili neno,walikutana walevi wawili hao aliye timamu hathubutu kuweka dhahiri ya siri.
 
Mapenzi kwake chumbani....huyo bwanake hakuona aibu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom