ya kweli
haya bana jiandae kupokea ma PM ya vidume humu vilikua vinatokwa na mate tu
ya kweli
Tt lakitanga kipini puani heleni kibao masikioni shanga kichwani (wenyewe siku hizi wanabania nywele au vilemba)mikufu ya maana shingoni bangili za shanga mikononi zisizo na idadi vikuku miguuni na pete kwenye vidole vya miguu wanja alioupaka kiasi akikutazama waweza sema jicho lataka kuanguka mtt si mrefu si mfupi si mnene si mwembamba tt namba 8 unaiona ukiangalia vizuri unaiona ya ndani yake hapo lazima rijali uchepuke