Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Na mimi nipo single
inabidi tufanye jambo
Na mimi nipo single
nakuja...
inabidi tufanye jambo
...loh..!?wanafundwa kukosa hekima,busara na ustaarabu..??!!.hamna kitu humo maonyesho ya biashara tu...
hata cha Arusha usishangaeHuyo atakuwa alikuwa na lager zackutosha kichwani,si bure hapa!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Co tatzo sema watz wanaona sio maadili ila ni kitu cha kawaida sana..
kila jambo lina wakati na mahala pake,
mule daladalani watu wamechanganyika wengne misiba wengne wamezinguliwa na wapenzi zao wengne wameua ulete mahaba! kila mt ana akipendacho,mfano wengne wapenda mauno wengne hawatak kuskia habar hzo,wangeenda kuimbiana makwao,ndo mana mungu akatupa utash wa kugongea ngoz ndani,inawahusu wewe na mweza wako,ndo inakuwa mahaba,huwa wa kuimba mitaani na kwenye daladala wizi tu,!!
NiPM username yako ya IG
Mbona huji jamani
ssnimekuja sika
xkkukuta
Aliefundwa akafundika hawez kukosa adabu hivyo na hawatangazii watu ila kwa mume tu huyo atakuwa anatangaza biashara
umeona eeeh
Hawa wanawake wa kitanga wamezid jamani heeeeee.....
Alikuwa kapanda na bwanake kwenye daladala wamekaa siti moja, mwanamke kamchukua bwanake akamuegesha kwenye kifua chake akawa anamuimbia nyimbo za kimahaba, halafu sio kwa sauti ya chini chini ilikuwa sauti kubwa tu mpaka kila mtu akawa anashangaa.
Alipokuwa anashuka akasema "mi ndio mtoto wa kitanga, nimefundwa nikafundika wenye kununa wapasuke twende tukalale laazizi wangu" hahahahahaha
Kazi kweli kweli!!!!! Haya tuwaacheee walalee