Mwanamke utajisikiaje/jihisije/chukuliaje..........

Mwanamke utajisikiaje/jihisije/chukuliaje..........

We Cheka tu.
Nakulia taiming.
Nimekuona kule nyuma ya Pazia unaomba urudiane na Mamndenyi,
kuwadi wako St. Paka Mweusi.
Ole, ole, ole,
nitawachinja.
Unamjua Manyaunyau wewe??
Yule Babangu mkubwa,
nakugeuza Chatu.


Habali za asubui,yale mashindano ya Ruhazwe JR yameshaanza au bado ni muda wa kampeni..??
 
Last edited by a moderator:
Kaka ndio unalivumbua leo hilo,sisi wengine ni ulabu kwa kwenda mbele wameshaitisha mpaka vikao vya wajomba maana kwa wazazi ilishindikana..

Mkuu ina maana wajomba wana nguvu kuliko wazazi......!!
Halafu mbona wewe ni mtakatifu sasa ulabu wapi na wapi.......!!
Au ni jina tu......................!
 
Safi sanaaaaa...Natamani wanaume wote tungeiga mfano wa huyu mheshimiwa kwenye hii picha.
 
Back
Top Bottom