Mwanamke utajisikiaje/jihisije/chukuliaje..........

tatizo kuna wengine ukishajitolea hivo anaweza akakupangia wajibu mbele ya wageni
 
Kuna uncle wa jamaa yangu alikuwa anaishi uk alimleta mama yake (mama wa kinyakyusa) uk jioni aliporudi kazini akaanza kuosha vyombo wakati mkewe amekete sebureni na mama siku ileile mama aligoma kulala kwenye ile nyumba na kutaka arudishwe TZ ikabidi mama akalale kwa jamaa jirani ambaye alikuwa ni mnyakyusa na mama aligoma kabisa kurudi kwa mwanae mpaka aliporudishwa TZ.
 
Mimi nitachukulia poa, nitafurahi, lkn kwa mme wangu, kufua atafua nguo zake, kama za watoto atafua atazonunua siku hyo, ucmpe nguo nyingine, kupika atapika akiwa hom peke yake, hapo tumetoka kama kwa wiki, ila kumbeba mtoto mgongoni nisahau, mwenyewe anasema mume ***** ndo anabeba hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom