Mwanamke utajisikiaje/jihisije/chukuliaje..........

God Forbid!

Nisalimieni casico na Yummy mkiwaona.

Narudi mapangoni Chechnya. Kwaherini.

Wewe ndo Director wa ile filamu nini?
Mbona uko mafichoni muda mrefu.
Na tukikukamata utajuta.
Lazima kichwa chako kiwe halali yetu.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ndo Director wa ile filamu nini?
Mbona uko mafichoni muda mrefu.
Na tukikukamata utajuta.
Lazima kichwa chako kiwe halali yetu.

Niko huku Chechnya. Biashara ya vyuma chakavu inalipa sana. nikirudi ntakuletea zawadi ya Suzuki Kei milango mitatu uoshe nyota.

BTW hapo unamaanisha kichwa kipi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom