Mwanamke utajisikiaje/jihisije/chukuliaje..........

Mwanamke utajisikiaje/jihisije/chukuliaje..........

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,692
yaya mume.jpg

Mumeo akiwa wa namna hii utajisikiaje/jihisije/chukuliaje.......?
Saa kumi "10" akitoka jobni moja kwa moja home.....!!!
Hata overtime hatiki............!!
 
Dah ntajiöna mwenye bahati na ntaongeza mapenzi maradufu
 
hapo huyo dogo hakawii kupata brain concussion na confusion akawa anakuita "mama" badala ya "baba".
 
Dah ntajiöna mwenye bahati na ntaongeza mapenzi maradufu

sasa ole wako pale atakapompata mdigo wa huko kwenu, yeye ndio awe anabebwa na kuogeshwa na maji ya mdalasini+hiliki....utajutaje!!!
 
mweeee..........but wangu nadhani anaweza.....ila ninavyomjua.....hawezi kumfungia mtoto mgongoni namna hiyo....khaaaa
 
Geez! What the hell is this? It will never i my dear life..
 
sasa ole wako pale atakapompata mdigo wa huko kwenu, yeye ndio awe anabebwa na kuogeshwa na maji ya mdalasini+hiliki....utajutaje!!!

mh huo utakuwa mzigo jaman. Khaa mbona ntajuta.
 
hakuna sheria inayosema lazima mwanaume afanye hizo kazi na ndo mana huez mshitaki ila kwa ambae anakua ameguswa na kujali pia unafuu kwa mkewe endapo ataona kuna kaz ya kumsaudia wife si dhambi kufanya ivo huwa ina maana nyingi sana na ni busara ila kama atakua ana nafasi hiyo.

Na si kwakulazimishwa kwa madawa[limbwata] ambapo ndo wapata hao mabwege ntozen nazi na wengneo
 
Back
Top Bottom