balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,783
- 15,568
Anasema Kuna dogo mmoja wa kihaya ndo anauza siri za Chadema kwa Abdul Ameir.Anasema Kuna mwanamke mmoja anatoka naye Bariadi amezaa na mtoto wa Samuya siku Moja alienda kwa Mambaz na Abdul.Huyo kijana wa kihaya ,Dudu anasema,anaingia kwenye vikao vya Chadema,akitoka faster kwa Abdul.
