Mwanamke SHANGINGI...............

Mwanamke SHANGINGI...............

Shangingi lililotumika sana lakini bado linatembea mitaani, linajulikana kiasi hata kama taa haziwaki "traffic" halisimamishi. Limekubuhu.

mi nilifikiri ushankupe inahusiana na umbea?na shangingi ni lifestyle????
 
Cheusi, Nadhani hujui nini maana ya uswahili au Waswahili, ngoja nikufafanulie,

Waswahili au uswahili ni asili ya watu wa pwani , yaani ukanda wa pwani, sasa unavosema wanapenda kuvaa magold na hizo sifa alizopewa shangingi katika uzi huu na comments nyingi wanasema ni yule ambae anapenda magold, na wewe unahusisha waswahili.

Mimi ni mswahili , nimetoka pwani nahisi kama unanitia katika kundi hilo ambalo sidhani kama waswahili wana hizo tabia.

Sifa za Shangingi ulizitaja vizuri kule mwanzo , na wengi wamezibabazua vema tu , lakini naomba nikusahihishe tu kuwa waswahili ni waswahili na mashangingi ni mashangingi ambao wameenea katika kila kona ya Tanzania.

Ahsante kama utanielewa.

pouwa haina shida.
 
wewe bana..
sasa wanaenda Dubai na CHina na wanawatumia vibaka pia?????

the boss,sio wote wanajishughulisha,na hata hadi wapate mtaji wa kwenda huko china na dubai ni baada ya kukamata buzi la kuwapa mitaji,so wanajuana na wahuni na vibaka wengi tu.
 
sometimes unasikia...'mashangingi wa bunge' mfano....
au mashangingi wa NEC ccm au CHADEMA...HAPO JEE??????
 
Kwa kuongezea, sauti zao zinakwaruzakwaruza..huwezi kujua ni bass au alto au nini! Hii ni shauri ya kupayuka na kunywa mipombe kutwa na usiku kucha!
,

Hawa wenye kukwaruza sauti huwa wapenzi sana wa mirungi, sijui test yake ipo vipi lakini nadhani itakuwa na ukakafu fulani hivi, halafu ni walaji sana wa "kashata za kungu" na pia huwa wanywaji sana wa maji ya kungu za kuchemsha.
Siku moja nilienda shughulini nikakuta wanauza kashata! mie mpenzi wa kashata, nikamwita yule dada kuna mama mmoja wa makamo akaniambia weh! hizo zina kungu mwanangu unatumia, Duh nilisisimka sana !
Ukiwakuta wanatafuna hiyo mirungi basi midomo yao inapeekwa yaani Mungu wangu, wanakuwa wanataswira tofauti !
 
Ma mc wanawake wote mashangingi....

Wapambaji ukumbi za harusi na wenye tenda za kupika chakula harusini wengi ni mashangingi.......lols
 
wabunge,mawaziri na manaibu?????hakuna??????
 
Kwani mabaamedi ni mashangingi?

Ma mc wanawake wote mashangingi....

Wapambaji ukumbi za harusi na wenye tenda za kupika chakula harusini wengi ni mashangingi.......lols
 
uswahilini vibaka kibao lkn hawa mashangingi wanajulikana na vibaka wote,hakuna kibaka atakayempora sbb kwanza hawa mashangingi saa ingine wanawatumia vibaka ktk madeal yao.

Tafadhali sana usiuhusishe uswahili na vibaka, mimi ni mswahili na nimezaliwa na kukulia uswahilini (Kariakoo). Napenda kukujuza kuwa enzi hizo, Kariakoo nyumba zilikuwa hazina uzio wa uwa, hazina ma grill ya vyuma, na tulikuwa tukilala milango wazi na madirisha wazi na nguo zetu zimeanikwa uwani usiku kucha, hakuna kibaka wala kuibiana na ikitokea basi huyo ni mgonjwa na anakuja kuiba chupi akafanyie mambo yake.

Vibaka tumeazna kuwaona baada ya kuanza kuja wageni wa bara uswahilini. Toka ujio wa hawa wasio waswahili "uswahilini" kumekuwa hakuna amani. Tafadhali sana usitutukane waswahili. Uswahili ni asili yetu na Kiswahili ni lugha yetu na Waswahili ni Wastaarabu to the minute. Kwa uswahili na waswahili nna maanisha wote waishio pwani ya Afrika mashariki na zaidi.
 
Faizafoxy
hebu nijibu hilo swali...
mashangingi ya NEC CCM,au CHADEMA ndo haya haya tuliopewa tafsiri au??????
 
ushangingi ni lifestyle bana...kanaweza kuwa ng'onda lakini shangingi!

mkorogo
madera ya kuchomekea kwenye padlock
kupenda kitchen party
mipasho ya taarabu
vicheko vya keo
mabwana in multiples
uchunaji
mawigi ya kubandika
mikucha na mikope mirefref
kutokupenda kupika
kutembeleana mashoga na kupiga soga za umbeya!!
 
FaizaFoxy wewe ni muongo!

Kuna waswahili vibaka kama kawaida.

Acha uongo wako bana, Waarabu walipochukua watumwa wameharibu sana akili za hao wengine.
 
ushangingi ni lifestyle bana...kanaweza kuwa ng'onda lakini shangingi!

mkorogo
madera ya kuchomekea kwenye padlock
kupenda kitchen party
mipasho ya taarabu
vicheko vya keo
mabwana in multiples
uchunaji
mawigi ya kubandika
mikucha na mikope mirefref
kutokupenda kupika
kutembeleana mashoga na kupiga soga za umbeya!!

kwa hiyo haijalishi mtu ni mbunge au professor wa chuo kikuu?????
 
Tafadhali sana usiuhusishe uswahili na vibaka, mimi ni mswahili na nimezaliwa na kukulia uswahilini (Kariakoo). Napenda kukujuza kuwa enzi hizo, Kariakoo nyumba zilikuwa hazina uzio wa uwa, hazina ma grill ya vyuma, na tulikuwa tukilala milango wazi na madirisha wazi na nguo zetu zimeanikwa uwani usiku kucha, hakuna kibaka wala kuibiana na ikitokea basi huyo ni mgonjwa na anakuja kuiba chupi akafanyie mambo yake.

Vibaka tumeazna kuwaona baada ya kuanza kuja wageni wa bara uswahilini. Toka ujio wa hawa wasio waswahili "uswahilini" kumekuwa hakuna amani. Tafadhali sana usitutukane waswahili. Uswahili ni asili yetu na Kiswahili ni lugha yetu na Waswahili ni Wastaarabu to the minute. Kwa uswahili na waswahili nna maanisha wote waishio pwani ya Afrika mashariki na zaidi.

samahani dada faiza kwa lugha yangu,uniwie radhi sikua na nia ya kuumiza hisia za yeyote,mm nimekulia huko bara sio siri nimekuja Dar baada ya kumaliza masomo huko kwetu bara,so hata Dar yenyewe siijui vizuri na mie nina picha fulani hivi ya uswahilini,yaani mm najua uswahilin ni sehemu kama magomen kinondon bugurun na watu wanaoishi huko ndio waswahili.
 
Nakubaliana na wewe bi mkubwa. Waswahili ni wakarimu,people of average income na wenye upendo hata kwa strangers! Huwa nashangaa mtu anamkaribisha a total stranger nyumbani kwake, ampe chakula na pa kulala. Kukosa uaminifu ndo kumewabadilisha waswahili!
Tafadhali sana usiuhusishe uswahili na vibaka, mimi ni mswahili na nimezaliwa na kukulia uswahilini (Kariakoo). Napenda kukujuza kuwa enzi hizo, Kariakoo nyumba zilikuwa hazina uzio wa uwa, hazina ma grill ya vyuma, na tulikuwa tukilala milango wazi na madirisha wazi na nguo zetu zimeanikwa uwani usiku kucha, hakuna kibaka wala kuibiana na ikitokea basi huyo ni mgonjwa na anakuja kuiba chupi akafanyie mambo yake.

Vibaka tumeazna kuwaona baada ya kuanza kuja wageni wa bara uswahilini. Toka ujio wa hawa wasio waswahili "uswahilini" kumekuwa hakuna amani. Tafadhali sana usitutukane waswahili. Uswahili ni asili yetu na Kiswahili ni lugha yetu na Waswahili ni Wastaarabu to the minute. Kwa uswahili na waswahili nna maanisha wote waishio pwani ya Afrika mashariki na zaidi.
 
Chadema haina mashangingi, ila CCM/NEC ndo yapo. Japo nilimuona mdada mbunge kijana wa chadema, kavaa dhahabu nyingi hadi huruma!
Faizafoxy
hebu nijibu hilo swali...
mashangingi ya NEC CCM,au CHADEMA ndo haya haya tuliopewa tafsiri au??????
 
Tafadhali sana usiuhusishe uswahili na vibaka, mimi ni mswahili na nimezaliwa na kukulia uswahilini (Kariakoo). Napenda kukujuza kuwa enzi hizo, Kariakoo nyumba zilikuwa hazina uzio wa uwa, hazina ma grill ya vyuma, na tulikuwa tukilala milango wazi na madirisha wazi na nguo zetu zimeanikwa uwani usiku kucha, hakuna kibaka wala kuibiana na ikitokea basi huyo ni mgonjwa na anakuja kuiba chupi akafanyie mambo yake.

Vibaka tumeazna kuwaona baada ya kuanza kuja wageni wa bara uswahilini. Toka ujio wa hawa wasio waswahili "uswahilini" kumekuwa hakuna amani. Tafadhali sana usitutukane waswahili. Uswahili ni asili yetu na Kiswahili ni lugha yetu na Waswahili ni Wastaarabu to the minute. Kwa uswahili na waswahili nna maanisha wote waishio pwani ya Afrika mashariki na zaidi.
Hao wageni wa kutoka bara wamekuja na maendeleo wakiwaacha wenyeji waswahili wakicheza bao na kusomesha watoto wao madrasa.hao watoto kubaki kulakulala na kukosa kipato then wanaanza udokozi wauze vitu ili nao waishi kama wageni kutoka bara!!!
mateja yote ni born hiahia die hiahia
 
Back
Top Bottom