Mwanamke SHANGINGI............... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke SHANGINGI...............

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by The Boss, Jan 5, 2012.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Ni kawaida katika mazungumzo kusikia watu wakisema..
  'nimepata bonge la 'shangingi'
  au mke wa fulani 'shangingi la kufa mtu'
  au mitaa ya sinza kuna 'mashangingi ya ukwel'....

  na hata wanawake utasikia 'wifi yangu fulani 'shangingi' hasa..
  na kadhalika...........

  sasa hapa nauliza usahihi wa neno shangingi ni upi?
  na mwanamke 'shangingi' ni yupi???

  je mwanamke mwembamba anaweza kuwa shangingi??????

  au mwanamke mfupi ????

  mwanamke mpole sana kama mlokole ??????

  je wanawake wanene na wenye maumbo makubwa automatically ni mashangingi????

  msichana teenager anaweza kuwa shangingi???

  ushangingi nini hasa?umbo au tabia?
  tabia zipi?????????

  je unaweza kusema natafuta shangingi la kufa mtu????lol

  au kumwambia mkeo ..nataka uwe shangingi hivi '??????lol

  tazama.. mfano wa magari.....magari mashangingi ni ma land cruiser na ma nissan
  yote aghali makubwa na yanatumia pesa nyingi ku ya maintain....
  huwezi kuita corola shangingi...lol
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mi nijuavyo ni tabia!
  Naona kama ni mwanamke ambaye hapendwi kupitwa na jambo mtaani, ya mtaa huu anayapeleka mtaa wapili na kugombanisha watu!
  Lakini anapokuwa na umbile la unene ndipo maana ya ushangigi huswihi zaidi kuliko akiwa na umbo kama la Sweety Radhia!
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  hapo ndo penye utata
  kwa nini unene iswihi zaidi????
   
 4. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  heri ya mwaka mpya the boss,
  mm picha niliyo nayo ya mwanamke shangingi,ni mnene,anajipenda,wengi wao huvalia magold mengi mengi,pia sio wapole,ni wale wajanja wajanja hivi,hawana aibu huongea kwa sana na pia shangingi mara nyingi anakua hajaolewa na anajua sana jinsi ya kuwachuna wanaume,yaani wengi wao anaweza kuwa anaishi mjini miaka yote hana kazi lkn anamabuzi yake ya uhakika,pia wengi wao wanakua waliolewa wakaachika na wana watoto,ila hata wasichana pia wanaweza kuwa shangingi,mim naona ushangingi sio sifa nzuri.
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Mi huwa naona watu huwa wanarefer mwanamke mwenye umbo kubwa,linalopenda starehe na kujiremba kwa saaana
   
 6. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  dah inabidi nikapunguze haya manyama uzembe:A S-coffee:
   
 7. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Shangingi ni vitendo vyake vya kishangingi au niseme nivitendo vya ki**laya kwa nnavyo elewa mie.... kwahiyo hata mwembamba pia ndio hao hao akiwa na tabia kama hiyo...
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  which means mwanaume anaweza mwambia mkewe badilika sweetheart...nataka uwe shangingi bana..lol?
  provided mwanaume anataka mkewe ajirembe na kupenda starehe??????lol
   
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  sio unene tu? Yaani linakuwa lijanja janja la mjini lipstick full time na wanja na mahereni,linajua kila kitu full starehe ,mabuzi ya kufa mtu yaaani usipime kwa lishangingi
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  wapo unakuta kaolewa,ana pesa na kazi nzuri
  but still unasikia ahh yule fulani ni bonge la shangingi.....lol
   
 11. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Sikiliza ule wimbo wa NGALULA wa L'Orchestre Marquis du Zaire (circa 1982) ndio utaelewa asili na maana ya neno SHANGINGI
   
 12. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #12
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hujaelewa yaani shangingi ni kama lichangudoa sema linakuwa lipo advanced kidogo.so mke hawezi kuwa shangingi
   
 13. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #13
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ushangingi sio umbo.
  ni namna m2 anavyojiweka yan ana mambo meengi hapitwi na ki2 yan.
  kwenye umalaya yupo, ulevi yupo, na fujofujo kibao.
  maranying huwa wanapenda kujikoboa haswaa na kujiremba kupitiliza yan muda woote.
  hao ndio mashangingi ss.
   
 14. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Duh!.....
   
 15. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  naomba kuongeza hapa, magold yenyewe utakuta makubwa makubwa, na mengi yanakuwa sio real gold, wengi wanakuwa starehe kwa sanaa, kazi hapana.
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180  Lmao.... Mfano wako Umekaa kishangingi....lol...

  Kwa mktadha huu naona Boss una idea na ngingi linavokua.
   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  unatafutwa dada? Umekula vya watu humu kuna rb yako kimbia
   
 18. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #18
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Shangingi aolewe? Yeye ni mabuzi tu. Kina Khadija Kopa hao
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  kwa kawaida ukimuita mwanamke m.a.l.a.y.a...anakasirika na ni ugomvi
  lakini kuna wanawake ukisema 'we ni bonge la shangingi hawakasiriki....mostly inahusu umbo...
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  is that the best contribution from you??????
   
Loading...