lol hili la sauti hata mi limenichosha hapa mbavu sina hahahahaha
Hapana jamani sauti?? Ngoja tumuulize kungwi AMIII.......
mbona mengine sauti saafi tu...laini lol
Je kila changudoa ni shangingi?
Maana hata wao wanauza na kujipamba
Shangingi ni character
Ni character yenye sifa zaidi ya moja
Mtu anaweza kuwa na sifa zote au baadhi ya sifa hizo na ku-qualify kuitwa shangingi
baadhi ya sifa hizo ni kama
1. Umal.y.
2. Unene/umbo kubwa
3. Kujiamini sana hasa kwenye shari (Ushari)
4. Kuongea/kujisifia um.l.y. hadharani hapa inajumuisha na kufundisha wengine jinsi ya ku du na ku-handle infidels zote
5. Kujichubua
6. Kupenda kuonekana na kutambuliwa uwepo wake hasa maeneo ambayo wanamme wapo hasa maeneo ya starehe
7. Kuhakikisha anavaa nguo nzuri, baadhi kuliko hata uwezo wao
8. Accessories nzuri na zinazo-shout sana
9. Nywele ziwe kwenye oda hasa mawigi fasheni ya UTAJIJU
10. Mipasho na umbea, umbea unaufuata magomeni from chanika
11. Kupenda pombe sana hasa za ofa
12. Kutopenda kukaa nyumbani, muda wote ni bar/salon/vijiweni hata kama hana cha kufanya hapo
13. Umri ??? nimeshindwa elezea ila unahu
i know that.....
ndo nimekuanzishia uzi sasa...lol
teach them....lol
sasa DA aseme ni hizi sifa au kuna zingine? lol
kwa hiyo mashangingi yana pesa na probably yapo zaidi masaki na mbezi kuliko buguruni na tandika sawa??
Mie ndo Shangingi la JF
Hapana, wengi wa wakaa masaki ni watu wa kipato cha kati au cha chini. Wao hu "target" wale wanaofikiria kuwa kulewa, wanawake, na anasa z kudunia ndio starehe. Wengi wao huwa ni wale wa hali ya chini walipata pesa za ghafla, kama kwa kuuza unga au kwenda kuajiriwa nje na kurudi na vi "saving" vyako ukivichenji kwa fedha zaetu unaziona nyingi na haziishi, lakini ukikumbana na mashangingi wa uhakika wanakufundisha namna ya kutumia.
Wale watu wenye hali za juu, kwao kutumia laki mbili mpaka tano kila siku ni kitu cha kawaida na haiwastui. Matatizo ni kwa watu kama wewe, mkizishika huwa mnatafuta starehe "artificial" hapo sasa.
sasa DA aseme ni hizi sifa au kuna zingine? lol
Mmmhhh wewe?
Kwanza vipi yule mtu aliyekata "mood" karudi kwenye form??
Au ndio kakufanya uwe hivi??
uswahilini vibaka kibao lkn hawa mashangingi wanajulikana na vibaka wote,hakuna kibaka atakayempora sbb kwanza hawa mashangingi saa ingine wanawatumia vibaka ktk madeal yao.Uswahilini vibaka kibao hayo magold makubwa makubwa si watakuwa wanaibiwa kila kukicha
ndo yakoje hayo?
amini usiamin mpendwa wangu,hakuna wanawake wanapenda na wenye magold kama wanawake wakiswahili,kuna una ndugu maeneo ya magomen hivi n alike mwambie akualike siku moja kwenye harusi za uswahili ndo utaona magold yanavyovaliwa,wanawake wa uswahili status yao iko kwenye kuvaa magold.
Kwa kuongezea, sauti zao zinakwaruzakwaruza..huwezi kujua ni bass au alto au nini! Hii ni shauri ya kupayuka na kunywa mipombe kutwa na usiku kucha!
uswahilini vibaka kibao lkn hawa mashangingi wanajulikana na vibaka wote,hakuna kibaka atakayempora sbb kwanza hawa mashangingi saa ingine wanawatumia vibaka ktk madeal yao.