Ana tatizo gani?
Hivi kuconform ni sifa ehhhh?
Tunawaita fuata upepo au vichwa panzi
Hawa inawezekana pamoja na sifa nyengine zilizokwishatajwa (baadhi zao-umbo kubwa, watu wa madili ya pesa rahisi ikiwemo uchunaji mabuzi na ubazazi, kuvaa ghali na kujipamba kupindukia) bungeni huwa wapashaji na wapayukaji wakubwa sana. Hawatumii hoja za nguvu bali mipasho na husikiliza zaidi sauti zao wenyewe kuliko za wengine.sometimes unasikia...'mashangingi wa bunge' mfano....
au mashangingi wa NEC ccm au CHADEMA...HAPO JEE??????
Hawa inawezekana pamoja na sifa nyengine zilizokwishatajwa (baadhi zao-umbo kubwa, watu wa madili ya pesa rahisi ikiwemo uchunaji mabuzi na ubazazi, kuvaa ghali na kujipamba kupindukia) bungeni huwa wapashaji na wapayukaji wakubwa sana. Hawatumii hoja za nguvu bali mipasho na husikiliza zaidi sauti zao wenyewe kuliko za wengine.
Kwa kudandia mada hapa hapa, kuna sehemu imesemwa "ukimwita ma.laya anahamaki lakini ukimwita shangingi anavimba kichwa". Ni suala la lugha tu, sawa na yule anayerusha vichwa ukimuliza "mkeo hajambo?" na kukenua umulizapo "vipi wife mzima?"; au anayefurahia kuitwa ba.sha lakini akahamaki kuitwa sho.ga. Kwa ufupi, sifa moja ya ushangingi ni hiyo ya um.alaya hata kama hili la mwisho linawakwaza.
magomeni ndo makao makuu ya mashangingi?????
wenyewe original wakoje? embu 2dadavulie boss.dah....sasa hao no masista duu ambao wanajiita masista duu
wenyewe original hawapendi hiyo label...na hawako fake that much...
Ni kawaida katika mazungumzo kusikia watu wakisema..
'nimepata bonge la 'shangingi'
au mke wa fulani 'shangingi la kufa mtu'
au mitaa ya sinza kuna 'mashangingi ya ukwel'....
na hata wanawake utasikia 'wifi yangu fulani 'shangingi' hasa..
na kadhalika...........
sasa hapa nauliza usahihi wa neno shangingi ni upi?
na mwanamke 'shangingi' ni yupi???
je mwanamke mwembamba anaweza kuwa shangingi??????
au mwanamke mfupi ????
mwanamke mpole sana kama mlokole ??????
je wanawake wanene na wenye maumbo makubwa automatically ni mashangingi????
msichana teenager anaweza kuwa shangingi???
ushangingi nini hasa?umbo au tabia?
tabia zipi?????????
je unaweza kusema natafuta shangingi la kufa mtu????lol
au kumwambia mkeo ..nataka uwe shangingi hivi '??????lol
tazama.. mfano wa magari.....magari mashangingi ni ma land cruiser na ma nissan
yote aghali makubwa na yanatumia pesa nyingi ku ya maintain....
huwezi kuita corola shangingi...lol
wabunge,mawaziri na manaibu?????hakuna??????
,Hao wageni wa kutoka bara wamekuja na maendeleo wakiwaacha wenyeji waswahili wakicheza bao na kusomesha watoto wao madrasa.hao watoto kubaki kulakulala na kukosa kipato then wanaanza udokozi wauze vitu ili nao waishi kama wageni kutoka bara!!!
mateja yote ni born hiahia die hiahia
haya ni makubwa yenye uzito mdogo,sasa haya yote yanatokea wapi mpendwa wangu ilhali nilishakuomba samahan,au ina maana mm ndio mtu wa kwanza kulitumia neno uswahili au uswahilini au waswahili kwa maana niliyomaanisha,mbona hata mm ni swahili speaker which makes me kuwa mswahili pia.Tafsiri yako ya uswahilini si kama niliyomaanisha mim,uswahilin yangu ni ile ya kulee kote kuleee kwa wanakosutana na matarumbeta kuleee ambako mtu akila nyama kila siku ni tajiri kulee wanakojibizana kwa maneno ya kanga.Kila siku watu hapa wanawa-refer wasichana wa kutoka uswazi niliyomaanisha mim kuwa ni kuku wa kienyeji,au hujasikia,mbona huwashambulii..Pia sijakutusi ww mwenyewe ndo umeamua kutafsiri kuwa unatusiwa.Vile vile kinakushangaza nini hadi useme huku uswahilin tunafata nin wkt nina haki yakuweka makazi ktk sehemu yoyote niitakayo tanzania,kwanza hata majumba mazuri huko Dar ni sisi wakuja kutoka bara hao wenyewe wametuuzia viwanja ili wapate pesa za kucheza watoto na kuongeza idadi ya wake huku watoto wao wakiishia kuwa vibaka na mateja.Dar imejengwa na wakuja na watoto wa wenyeji ndio wanaongoza kwa ukibaka na uteja na uhuni.
hii ni coment yangu ya mwisho hapa naona hali si shwari na mie safari za dhoruba na mawimbi siziwezi.
nalog off.
Shangingi ni neno la kimasai.
Kwa sababu wana age set system, shangingi ni mwanamke kwenye thirties au 40s akipata mjukuu huwa wanaitwo kokoo. i.e bibi au mwanamke mzee.
Kwa wanaume ni baada ya morani huwa "Seuri".... baadae "Laibon".
Seuri ni kama shanginki kwa kiumri.
Kwa kuwa maanti huwa wanaongeza weight in their 40s na kuchukua taswira ya makalio na umbo nene kiaina fulani, basi waswahili tukaanza kuwaita mashangingi.. from maasais.
Kwa mfano, Shyrose, Michelle Obama,.....
Hii inanikumbusha 'uswahili'.
Utasikia mtu anasema 'mi sina mambo ya kiswahili kama hayo'.
Sasa 'uswahili' ni nini? Na kinyume cha 'uswahili' ni nini?
Manake unakuta mtu anakaa 'uswahilini' halafu eti anajidai 'hana mambo ya kiswahili'. Hapa naibua hoja nyingine. 'Uswahilini' ndiyo wapi? Na huko 'uswahilini' kukoje? Na kinyume cha 'uswahilini' ndo 'uzunguni'?
Kama kinyume cha 'uswahilini' ni 'uzunguni' je, ni sahihi kusema kinyume cha 'uswahili' ni 'uzungu'?
kwa hiyo, hao ni mashangingi?
Hayo yote ya hapo juu mimi kwa mtazamo wangu, watu hupenda kuwabeza waswahili hata bila kujua maana ya Waswahili au Uswahili.
NAweza kusema labda kutokana na maisha ambayo waswahili wamekuwa wakiishi tokea enzi za mababu ambazo walikuwa na MILA NA DESTURI zao !
Nadhani walipokuja wazungu kukatokea matabaka ya aina tofauti na utakuta eneo la dar ndio kama hivo liligawanywa sehemu tofauti kutokana na watu waliokuwa wakiishi maeneno hayo , nilikuwa nikisikia nilipokuwa mdogo " uzunguni ", uhindini na uswahilini.
Lakini ikumbukwe kuwa huko uswahili kulikuwa na watu WASTAARABU wakiishi (Kariakoo) ambapo walikuwa wastaarabu sana ! baadae maeneno hayo YAKAVAMIWA na watu wa aina tofauti ! na baadae mila na desturi zikachanganyika na tabia mbaya zikajitokeza huko! lakini kwa sababu kulishazoeleka ni uswahilini basi watu tena hawaangalii nini maana ya Uswahili wanasema tu just kukejeli watu wa Pwani !
Nadhani nimefafanua kiasi. Ninavoelewa mimi
lo..... asante kwa hii vivid example teh...Huwa na ngozi zilizochanika mabegani na miguuni