Mwanamke SHANGINGI...............

wapo wake za watu mashangingi wengi tu Smile,hasa kwenye haya majiji kama Arusha,Dar na Mwanza...wengine huanza wakiwa wake za watu tayari,na kama ndoa ndo zile za kikristo,au yeye ndo mleta chakula mezani,mlipa ada,mwenye pango ni wanaume wachache wenye guts za kuwaacha...ukizingatia siku hizi wanaume wanaolelewa ni wengi,ndoa za mashangingi zitadumu na kuongezeka.

sasa ushangingi ni nini haswaa?
 
Duh kama hii ni moja ya sifa za mwanamke shangingi, hakika mashangingi yamejaa tele mitaani. Kuanzia uswahilini Matola hadi uzunguni Kilimani!!
nilijua hii italeta utata kidogo,mpenzi wangu sio kila aendaye china dubai ni shangingi,na wala sio mashangingi wote wanafanya hizi biashara,wengine wamejichimbia masalon wengine hawafanyi lolote ila sio wote wafanyao salon ni shangingi.
 
All Massawe are Chagas but not all Chagas are Massawes!!
 
Hapo unakosea sasa nimekufuatilia toka mwanzo, hivi shangingi la uswazi linaweza miliki migold mikubwa kubwa? au linaweza badili viwalo kila baada ya masaa kadhaa?

amini usiamin mpendwa wangu,hakuna wanawake wanapenda na wenye magold kama wanawake wakiswahili,kuna una ndugu maeneo ya magomen hivi n alike mwambie akualike siku moja kwenye harusi za uswahili ndo utaona magold yanavyovaliwa,wanawake wa uswahili status yao iko kwenye kuvaa magold.
 
magomeni ndo makao makuu ya mashangingi?????
 
waoambao sio malaya but still wanaitwa 'mashangingi'....
hapo vipi?

Hapo ndio linapotumika umbo na kumuangalia mtu kwa nje tu bila kumfahamu kidogo.....
Wamama/dada wenye miili mikubwa na swagga flani hivi za kama ambazo amezielezea Aminata hapo juu wanaangukia kwenye kundi la ushangingi, japo ukweli ushangingi ni tabia hizo nilizozisema ndio maana sometimes hata binti mwenye umbo dogo anaweza itwa "kashangingi tu"
 
amini usiamin mpendwa wangu,hakuna wanawake wanapenda na wenye magold kama wanawake wakiswahili,kuna una ndugu maeneo ya magomen hivi n alike mwambie akualike siku moja kwenye harusi za uswahili ndo utaona magold yanavyovaliwa,wanawake wa uswahili status yao iko kwenye kuvaa magold.

Uswahilini vibaka kibao hayo magold makubwa makubwa si watakuwa wanaibiwa kila kukicha
 
Hapo ndio linapotumika umbo na kumuangalia mtu kwa nje tu bila kumfahamu kidogo.....
Wamama/dada wenye miili mikubwa na swagga flani hivi za kama ambazo amezielezea Aminata hapo juu wanaangukia kwenye kundi la ushangingi, japo ukweli ushangingi ni tabia hizo nilizozisema ndio maana sometimes hata binti mwenye umbo dogo anaweza itwa "kashangingi tu"

hewaaa..
which means wengine wanaonewa kwa sababu ya maumbo yao...
 
dont you find it funny that
most big women are referred as mashangingi????? even the decent ones???

Well I don't refer to any woman as a shangingi, and I don't take my time to ponder about what other people call each other
 
Back
Top Bottom