The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,611
- Thread starter
- #181
Bbadhi za sifa za sista du
1. Kukataa hana mtoto kama anaye
2. Ku-hang out sehemu za mabrazamen
3. Kushika BB mbele kama askari anavyoshika bunduki tayari kwa ku-attack adui
4. Kuomba wenzie BBM pin bila kuuliza kama wanazo
5. Kujaribu kwenda na fashen za akina Kim kadashan hata kama hazina maana mazingira anayoishi
6. Kuhakikisha ana products feki ila zenye majina makubwa
eg. Pair ya viatu feki nembo Steve maden
pafyum feki jina Dior
pochi feki jina cuggi
7. Kiswangilish ndo mpango mzima
8. Kuwa na wivu na wasichana wenzie hasa wanao-shine zaidi yake
9. Chakula ni baga au chipsi kuku, NO kwa ugali
ntarudi badae
dah....sasa hao no masista duu ambao wanajiita masista duu
wenyewe original hawapendi hiyo label...na hawako fake that much...