Mwanamke SHANGINGI...............

Mwanamke SHANGINGI...............

umewahi sikia kitu kinaitwa 'foolish age'
sasa ubitozi na u sista duu huo unaozungumzia umo humo....

Hakika. Kuna mtoto wa kike wa ndugu yangu katika hiyo foolish age na usista duu juu,alishawahi kufanya kitu ambacho ninaweza kukiweka katika level ya juu sana ya usista duu + foolish age.

Ilikua hivi:sista huyo alitolewa matanuzi na jamaa ake 1. Sasa wakati wa anarudishwa kwao usiku wa manane,jamaa akauliza,'hivi baba yako yupo wapi mpaka husiwe na uoga kurudi usiku mnene?' Sista duu alijibu kwamba 'baba yupo States'. Alijibu hivyo ilhali akijua baba yake alikua ameshafariki kitambo.

Sasa baada ya jamaa kunisimulia,nilishindwa nimwekee katika level gani ya usista duu au ufoolish age?
 
amepiwa akili kweli, huo sio usister doo ni ujinga + ushamba + ulimbukeni
 
dah halafu hakujua
kuwa alikuwa anajishusha mno kwa hiko kibuzi chake..
 
amepiwa akili kweli, huo sio usister doo ni ujinga + ushamba + ulimbukeni

Mdau mmoja humu kasema kwamba usista duu unaambatana na foolishness. Hivyo bado naamini huyo alikua sista duu wa kupitiliza.
 
Umeona ee
ni bora kutowekwa kwenye sista du wala shangingi wala fataki wala nini.

Bora kubaki kama ulivyo inakuwa rahisi zaidi kuishi
You are on the right track. . .
Making a fool of yourself makes it hard for others to respect you.
 
Umeona ee
ni bora kutowekwa kwenye sista du wala shangingi wala fataki wala nini.

Bora kubaki kama ulivyo inakuwa rahisi zaidi kuishi

hiyo busara inakwenda withh age
ukikuta mtu yuko above 30 na bado
unaweza kum group katika makundi ya mabitozi na ma sistadu basi ujue ana tatizo
but ukikuta kijana wa 17 hayupo group lolote basi nae ana tatizo.....
 
Lmao.... Mfano wako Umekaa kishangingi....lol...

Kwa mktadha huu naona Boss una idea na ngingi linavokua.

Mi ndo maana love nimekataa 'shangingi' tulilopewa zawadi ya Xmas na kina King'asti...maneno haya haya siyapendi miye lol
 
Umeona ee
ni bora kutowekwa kwenye sista du wala shangingi wala fataki wala nini.

Bora kubaki kama ulivyo inakuwa rahisi zaidi kuishi
Mimi sijawahi kua kwenye clique yeyote ambayo mtu anaweza kutumia kunidefine. Sema kuna watu hua wanaconform tu na kila kundi kwasababu individually hawana kitu.
 
hiyo busara inakwenda withh age
ukikuta mtu yuko above 30 na bado
unaweza kum group katika makundi ya mabitozi na ma sistadu basi ujue ana tatizo
but ukikuta kijana wa 17 hayupo group lolote basi nae ana tatizo.....
Ana tatizo gani?
Hivi kuconform ni sifa ehhhh?
 
Ukishakuwa mtu mzima na matured hutotaka kujihusisha na hayo.

Kwa under 17 kutokuwa kwenye makundi hayo ni mazingira sasa. Ndo nimetoka mto wa mbu nimekuja dar nikiwa 16 siwezi kuwa sista du

hapa inategemeana sana, confusing!
hiyo busara inakwenda withh age
ukikuta mtu yuko above 30 na bado
unaweza kum group katika makundi ya mabitozi na ma sistadu basi ujue ana tatizo
but ukikuta kijana wa 17 hayupo group lolote basi nae ana tatizo.....
 
Tunawaita fuata upepo au vichwa panzi

Mimi sijawahi kua kwenye clique yeyote ambayo mtu anaweza kutumia kunidefine. Sema kuna watu hua wanaconform tu na kila kundi kwasababu individually hawana kitu.
 
Shangingi ni neno la kimasai.
Kwa sababu wana age set system, shangingi ni mwanamke kwenye thirties au 40s akipata mjukuu huwa wanaitwo kokoo. i.e bibi au mwanamke mzee.

Kwa wanaume ni baada ya morani huwa "Seuri".... baadae "Laibon".
Seuri ni kama shanginki kwa kiumri.

Kwa kuwa maanti huwa wanaongeza weight in their 40s na kuchukua taswira ya makalio na umbo nene kiaina fulani, basi waswahili tukaanza kuwaita mashangingi.. from maasais.
Kwa mfano, Shyrose, Michelle Obama,.....
 
Back
Top Bottom