Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Status
Not open for further replies.
na wewe si uweke hiyo sura basi wanaume waione. Aaaaarrrrrrrgggggh
kumbe unataka wanaume wakuone? kumbe upo kimauzo eeeh? mi siko ivo mama sijaja huku kuuza sura kwa wanaume wa jf
soko ni lako.usinihusishe tafadhali
 
Natoka migombani jamani narudi mjini huu uzi ,unanifurahisha!
 
kumbe unataka wanaume wakuone? kumbe upo kimauzo eeeh? mi siko ivo mama sijaja huku kuuza sura kwa wanaume wa jf
soko ni lako.usinihusishe tafadhali

Wanawake kwa roho zenu mbaya siwawezi
 
Sura yako ni ya kawaida tu!, umbo tepetepe in your 40s you'll be done.
Not vogueworth, umekaa kibongomovie!
Y'all aaight.
I happened to know a fine sister, loaded and smart. And she uses a fake avtar.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom