macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,476
- 61,356
Nenda onana naye mengine utajua huko huko. Pengine aliombewa kanisani na mchungaji siku za karibuni akapewa unabii kuwa muda wa siku tano atakutana na mtu ambaye Mungu amempangia, amkubali. Au alitokea kuvutiwa na wewe na akaona asikose hiyo fursa. Au yeye yuko direct. Au anataka kusikiliza unachotaka kumwambia. Unakuwa kama kijana wa form two bwana. Ndiyo huwa wanakuwa wanafunzi wa mapenzi.Angenishangaa ..nilitegemea angeniwekea vizuizi kidogo,ili kidogo nihangaike
Angalia vzr calender yako, usikute inakuambia leo ni 2030bado mwezi mmoja tuingie December
Wanaziba masikioBro to Bro
Siku hizi kuna list tu labda kuna player kaumia wewe ni sub😅😅
Haswaa! ndio huyo huyo.Yatakushinda ujue, Yule aliniambia anipeleke kila kwa shishi? 😂😂
I refuse to be controlled by a calendarAngalia vzr calender yako, usikute inakuambia leo ni 2030