Mwanamke kuongelea suala la nguvu za kiume hadharani huwa unapata tafsiri ipi?

Ni kweli hayo matatizo yako.
Lakini mengine husababishwa ba baadhi za ofisi zenu na mwenye ofisi mwenyewe.
Katika sex mwanamke anayo nafasi kubwa sana kumfanya mwanaume arudie tendo mara kadhaa...hii inatokana na atakavyomjengea mwanaume mvuto...utundu wake katika kuteka hisia.

Pili; kuna binti unamtamani sana lakini akikufunulia tu hamu inakata.
Maumbile mengine yana maji na mtepeto wa ajabu.
Mwanaume anaweza kujikaza kuanza ku sex lakini aidha anaweza kuharakisha amalize au hata hisia zikaishia katikati ya tendo.

Tatu ni matatizo ya nguvu za kiume litokazo na mtindo wa maisha...vyakula, nyeto, porn nk
Moja na pili ni kwa kiwango kidogo sana inaleta upungufu wa nguvu ila 3 ndo tatizo lilipo, life style inachangia pakubwa ukosefu wa nguvu za kiume kubalini tu na hili kwa mwanaume Ni aibu ndo maana mnajihami mapema ili lisiongelewe sababu inawadhalilisha na kweli mwanaume asie na nguvu Ni Kama kopo lililoishiwa bidhaa, matumizi yake ni kuwekewa chumvi, sukari na makazi yake Ni jikoni hope mmenielewa
 
Moja na pili ni kwa kiwango kidogo sana inaleta upungufu wa nguvu ila 3 ndo tatizo lilipo, life style inachangia pakubwa ukosefu wa nguvu za kiume kubalini tu na hili kwa mwanaume Ni aibu ndo maana mnajihami mapema ili lisiongelewe sababu inawadhalilisha na kweli mwanaume asie na nguvu Ni Kama kopo lililoishiwa bidhaa, matumizi yake ni kuwekewa chumvi, sukari na makazi yake Ni jikoni hope mmenielewa

Kwani utendaji wangu umepungua mama?
 

Kwani utendaji wangu umepungua mama?
Nimezungumzia in general sio wewe binafsi babaa 😂😂😂

Zingatieni Sana life style yenu najua inawanyong'onyeza ila ukweli haukimbiwi bali kuukabili,, mnavyopoaga Hadi huruma Yani😂😂😂 mwingine kujipooza anaamua kuwashushia jumba bovu wanawake wote wanaozungumzia hilo suala,
Sasa mtapata vipi tiba km hamtaki sie watumiaji tuseme mnapokwamia?? Au muambiwe na wanaume wenzenu🤔na wao tutawauliza waliyajulia na kuyafanyia wapi?😂😂😂
 
Nimezungumzia in general sio wewe binafsi babaa

Zingatieni Sana life style yenu najua inawanyong'onyeza ila ukweli haukimbiwi bali kuukabili,, mnavyopoaga Hadi huruma Yani mwingine kujipooza anaamua kuwashushia jumba bovu wanawake wote wanaozungumzia hilo suala,
Sasa mtapata vipi tiba km hamtaki sie watumiaji tuseme mnapokwamia?? Au muambiwe na wanaume wenzenuna wao tutawauliza waliyajulia na kuyafanyia wapi?
acha niitikie in general bibie
 
I love you Karucee

Umeongea ukweli mtupu hapo, mimi pamoja na kibamia changu ila nikimla demu akanisifia basi nakuwa nasimama nimle kila saa.... na ninasimamia ukucha kweli kweli hadi najishangaa.

Sababu nini, nakuwa nina ile FURAHA ya USHINDI.

Ego!
Another note.

It's never about the size, it's about how you make that woman feel.

Sex for us women goes beyond the thrusts. Satisfaction to us is alot more complicated than mere pushups.

Do your best and leave the rest to us.
 
Itoshe tu kusema binadamu ameumbiwa tamaa kila siku anahitaji kitu Kipya maishani. Pia vijana nguvu wanazo, ila shida ni mazoea kwa pande zote mbili kitu kinachopelekea haya yote kutokea.
 
Habarini wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Kumekuwa na kasumba la wadada kuongelea swala la nguvu la kiume hadharani tena kwa kujiamini, mimi binafsi nikisikia mwannamke anaongelea swala hili namtafsiri huyu mwanamke kama kaliwa sana na wahuni in short ni malaya.
Wewe unapataga tafsiri ipi?
Why are you posting this do you want us to stronulodolous our incritruxocos without our melosium lomp coxholism Topsology.
😊😊😊😊🏃🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom