jamani ...
My dear, it is a blessing to know that there is someone , somewhere loves you. Receive it with prayers. Please don't forget my invitation card . I miss you dear . Thanks..
jamani ...
My dear, it is a blessing to know that there is someone , somewhere loves you. Receive it with prayers. Please don't forget my invitation card . I miss you dear . Thanks..
sijui kwa nini?
Nimeamini kweli mapenzi yanaua kabisa,watu
wameuana kwa sumu,risasi,visu,mishale,mikuki,na kila aina ya silaha kisa
mapenzi,ukitaka kumharibia mtu siku yake basi mguse kwenye mapenzi.
Nachoandika hapa nipo serious kupita kiasi,mtu akileta utani hapa wakati
mimi nateseka na kupenda naapa nitalamba life ban kuliko kuniletea
dharau hapa,nawaonya mapema.
Cheza na vyote ila usicheze na moto wa kupenda,namuomba sana huyu
mwanamke na anajijua kabisa auponye moyo wangu jamani.
Tatizo sasa hivi nimefulia ndio maana naogopa hata kumvaa mazima,ila
najua mapenzi si pesa,tutaishi tu na mafanikio yatakuja hapo baadae.
nimeshaumia vya kutosha nimeona bora mnipigie debe,yaani I'm Seeking for
public sympathy,kama nina ushamba wa ku seduce nisaidieni
jamani,nampenda huyu mwanamke and it's not a joke.
Miss chagga mimi nauza bucha nitatoa kongoro na supu yake A.k.A makanyagio harusi ifanyike...vjn wenzangu tumpeni moyo bwn mkubwa...
wanawake wote wanajiuza, ukijua bei yake hakusumbui. sasa kama wewe unaenda umening'iniza pum.bu tu utangoja sana...eti pesa mtatafuta wote, angetaka mtu wa kutafuta naye si angetafuta na baba yake aliyemlea.
Hii ni harassment mtu hawezi kujiita I love somebody Na akaachiwa hivi hivi. Hii inashusha hadhi ya jukwaa. Mods fanya yaliyomema. Ni unyanyasaji mtu kujiita I love NJILINJI
That's a song but this is real life-What you see on TV is not real
Cc😡sister
ni kipi tena hawezi kukushauri sister maana bila hicho wewe huwezi?jamani darling haya maisha tu,tulizaliwa uchi na mali zote tumezikuta duniani,na hapa duniani tunapita tu,nakuomba uwe nami jamani,pesa zipo nyingi mno duniani tutapata tu,usikubali kuolewa na mwanaume mwenye pesa atakusimanga maana hujui kazitoa wapi,hao rafiki zako wanakudanganya,pesa nzuri ni za kutafuta na mumeo ambaye ni mimi sitakuwa na ujasiri wa kukusimanga,na nikifanya hivyo lazima nitafilisika na kurudi nilikotoka,unaweza kudhani ni fiction,ila ipo siku utanitafuta sana humu na hutaniona kamwe,shauri yako,usidanganywe na kioo,nyie wanawake ni maua,you easily fade,wakati wako ni huu mama njoo pm tuyamalize.
hahhahhah! nimeshamjua mchawi wangu,ni wewe sister,nikimkosa kabisa misschagga kwa jinsi nilivyompania,naapa nitakufa na wewe,unajua nampenda kiasi gani hadi unaanza kumshawishi? ngoja tutaona,hii game wakuda wote hamtakiwi na nimetoa onyo mapema,take care sana sister na uniachie mke wangu vinginevyo........
toa ushamba wako hapa,muhusika haja complain wewe inakuuma nini? wivu tu huna lolote.