nanjilinji
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 1,206
- 566
Ni kweli mimi ni mtu wa shamba, hivyo si tusi kuitwa mshamba au kuwa na ushamba. Hapa Njinjo ni shamba. Mhusika kukukaripia PM isiwe kigezo cha wewe kujificha katika kivuli cha mti. Wivu siwezi kuwa nao kwa Miss Chagga ila kwa Lara 1 tu!toa ushamba wako hapa,muhusika haja complain wewe inakuuma nini? wivu tu huna lolote.