SaidAlly
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 2,389
- 2,356
......eti pesa mtatafuta wote, angetaka mtu wa kutafuta naye si angetafuta na baba yake aliyemlea.
Hahaha....wanadam mna maneno jamani dah!!??
......eti pesa mtatafuta wote, angetaka mtu wa kutafuta naye si angetafuta na baba yake aliyemlea.
kuna wimbo fulani wa lionel richie......sikumbuki unaitwaje......yulee mdada kipofu baadae walipendana na lionel richie......so yawezekana....
BAK saidia hapa kuweka hicho kibao...
tinnacute nisaidie nimpate wife.
unatakiwa ukaze msuli, siyo usaidiwe. omba appointment, akikubali hakikisha umemuimpress, hata kama uko choka jikakamue, usiende na boxer, usivae majeans na milegezo yenu, kodisha gari ya maana ukam-pick, nenda nae sehem yenye hadhi, kula naye dina moja romantic huku ukimsifia alivopendeza na kumweleza jinsi gani unamzimia, acha kabisa utoto wakupokea simu za wahuni wenzako..."oyoooo, sema mchizi..ah, mi sa hiz niko zangu viwanja na demwangu..si unajuah"..utajiharibia. siku ya kwanza mrejeshe nyumbani salama kabisa, potezea siku moja ya pili mwite lunch muda wa kazi, atakataa...mrushie laki moja kwenye mpesa...endelea na mtindo huo, nakuhakikishia kabla milioni moja yako uliyokopa finca haijaisha mtoto atakuwa keshaachia paja, akiachia tu usizubae mmiminie mzigo wa maana na mimba juu, baada ya hapo nenda kakope tena pride, malizia taratibu zilizobaki toa posa kabisaa, funga ndoa kabla likizo ya jamaa aliyekuachia geto haijaisha.
Mkuu unalo,mwambie anakabati ya mbyoo,staut,kabati ya picha na ATM iliyojaa
Unatisha aisee kwa mbinu hii hatoki mtuunatakiwa ukaze msuli, siyo usaidiwe. omba appointment, akikubali hakikisha umemuimpress, hata kama uko choka jikakamue, usiende na boxer, usivae majeans na milegezo yenu, kodisha gari ya maana ukam-pick, nenda nae sehem yenye hadhi, kula naye dina moja romantic huku ukimsifia alivopendeza na kumweleza jinsi gani unamzimia, acha kabisa utoto wakupokea simu za wahuni wenzako..."oyoooo, sema mchizi..ah, mi sa hiz niko zangu viwanja na demwangu..si unajuah"..utajiharibia. siku ya kwanza mrejeshe nyumbani salama kabisa, potezea siku moja ya pili mwite lunch muda wa kazi, atakataa...mrushie laki moja kwenye mpesa...endelea na mtindo huo, nakuhakikishia kabla milioni moja yako uliyokopa finca haijaisha mtoto atakuwa keshaachia paja, akiachia tu usizubae mmiminie mzigo wa maana na mimba juu, baada ya hapo nenda kakope tena pride, malizia taratibu zilizobaki toa posa kabisaa, funga ndoa kabla likizo ya jamaa aliyekuachia geto haijaisha.
unatakiwa ukaze msuli, siyo usaidiwe. omba appointment, akikubali hakikisha umemuimpress, hata kama uko choka jikakamue, usiende na boxer, usivae majeans na milegezo yenu, kodisha gari ya maana ukam-pick, nenda nae sehem yenye hadhi, kula naye dina moja romantic huku ukimsifia alivopendeza na kumweleza jinsi gani unamzimia, acha kabisa utoto wakupokea simu za wahuni wenzako..."oyoooo, sema mchizi..ah, mi sa hiz niko zangu viwanja na demwangu..si unajuah"..utajiharibia. siku ya kwanza mrejeshe nyumbani salama kabisa, potezea siku moja ya pili mwite lunch muda wa kazi, atakataa...mrushie laki moja kwenye mpesa...endelea na mtindo huo, nakuhakikishia kabla milioni moja yako uliyokopa finca haijaisha mtoto atakuwa keshaachia paja, akiachia tu usizubae mmiminie mzigo wa maana na mimba juu, baada ya hapo nenda kakope tena pride, malizia taratibu zilizobaki toa posa kabisaa, funga ndoa kabla likizo ya jamaa aliyekuachia geto haijaisha.
wanawake wote wanajiuza, ukijua bei yake hakusumbui. sasa kama wewe unaenda umening'iniza pum.bu tu utangoja sana...eti pesa mtatafuta wote, angetaka mtu wa kutafuta naye si angetafuta na baba yake aliyemlea.
unatakiwa ukaze msuli, siyo usaidiwe. omba appointment, akikubali hakikisha umemuimpress, hata kama uko choka jikakamue, usiende na boxer, usivae majeans na milegezo yenu, kodisha gari ya maana ukam-pick, nenda nae sehem yenye hadhi, kula naye dina moja romantic huku ukimsifia alivopendeza na kumweleza jinsi gani unamzimia, acha kabisa utoto wakupokea simu za wahuni wenzako..."oyoooo, sema mchizi..ah, mi sa hiz niko zangu viwanja na demwangu..si unajuah"..utajiharibia. siku ya kwanza mrejeshe nyumbani salama kabisa, potezea siku moja ya pili mwite lunch muda wa kazi, atakataa...mrushie laki moja kwenye mpesa...endelea na mtindo huo, nakuhakikishia kabla milioni moja yako uliyokopa finca haijaisha mtoto atakuwa keshaachia paja, akiachia tu usizubae mmiminie mzigo wa maana na mimba juu, baada ya hapo nenda kakope tena pride, malizia taratibu zilizobaki toa posa kabisaa, funga ndoa kabla likizo ya jamaa aliyekuachia geto haijaisha.
Nimekuelewa
Wanawake wote wanajiuza, ukijua bei yake hakusumbui= Bonge la point mkuu.
Hii ni harassment mtu hawezi kujiita I love somebody Na akaachiwa hivi hivi. Hii inashusha hadhi ya jukwaa. Mods fanya yaliyomema. Ni unyanyasaji mtu kujiita I love NJILINJI