Mwanamke huyu anaitesa sana roho yangu

Mwanamke huyu anaitesa sana roho yangu

Miss chagga hongera zako dadangu. thread nzima hii inaonyesha unavyovutia watu humu ndani. Wake kwa Waume wanakukubali. Hiyo ni bahati ya pekee jitahidi kuitumia vizuri kwa ajili ya maisha yako ya baadae.

sawa mkuu
 
Nisamehe bana nimeongea kwa hisia sana.Mie nilishaga fikiria kuuza shamba nijenge jina kwako.Sasa hivi nimevunja kambi yangu ya kampeni kwako,na sasa namuunga mkono jamaa aliejilipua hadharani.

hongera kwa ujasiri
 
Kama mkusudiwa unasoma hili - basi mhurumie mwenzio ufanye ubinaadamu umtibu ugonjwa wake mahaba kwani mwenzio ana teketea kwa pendo zito alilo nalo juu yako. Lakini haya yote yaende kwa njia alioamuru Mungu,
 
hongera kwa ujasiri

Ujasiri au udhaifu.Kama ningegundua mbinu ya mgombea wangu pengine saa izi ningekua najilia vinono tu.Ka wivu kapo ila nifanyeje na mtu kapanda juu ya mlima kilimanjaro na kuutanganzia ulimwengu kinachomchoma moyoni.Mie nimeamua kumuunga mkono.Napendekeza asikiliza asikilizwe kilio chake.
 
sawa mkuu usifanye kosa tena
 
Kama mkusudiwa unasoma hili - basi mhurumie mwenzio ufanye ubinaadamu umtibu ugonjwa wake mahaba kwani mwenzio ana teketea kwa pendo zito alilo nalo juu yako. Lakini haya yote yaende kwa njia alioamuru Mungu,

amen......
 
Ni kazi kubwa sana hii...

MMU ina mambo sana!
 
Back
Top Bottom