I Love Miss Chagga.
Member
- Dec 16, 2014
- 21
- 24
Nimeamini kweli mapenzi yanaua kabisa,watu wameuana kwa sumu,risasi,visu,mishale,mikuki,na kila aina ya silaha kisa mapenzi,ukitaka kumharibia mtu siku yake basi mguse kwenye mapenzi.
Nachoandika hapa nipo serious kupita kiasi,mtu akileta utani hapa wakati mimi nateseka na kupenda naapa nitalamba life ban kuliko kuniletea dharau hapa,nawaonya mapema.
Cheza na vyote ila usicheze na moto wa kupenda,namuomba sana huyu mwanamke na anajijua kabisa auponye moyo wangu jamani.
Tatizo sasa hivi nimefulia ndio maana naogopa hata kumvaa mazima,ila najua mapenzi si pesa,tutaishi tu na mafanikio yatakuja hapo baadae.
nimeshaumia vya kutosha nimeona bora mnipigie debe,yaani I'm Seeking for public sympathy,kama nina ushamba wa ku seduce nisaidieni jamani,nampenda huyu mwanamke and it's not a joke.