Mwanamke huyu anaitesa sana roho yangu

Mwanamke huyu anaitesa sana roho yangu

Shauri yako pokea huo ushauri jasho litakutoka. Ujue ukimwonjesha atakuja na ID I hate Miss Chagga. Kama huamini jaribu ingawa sumu haijaribiwi na ulimi

mi nazani sifa za mwanaume. awe na akili timamu/ asiwe anatumia madawa ya kulevya/ awe na uwezo wa kuzalisha. hayo mengine mbwe mbwe.
 
Vipi ndugu yangu unaweza lakini show bila pooo!
sio dakika 2 tu unaomba pooo! usije ukadhani huyo mdada show zake ni kama mbio za Usain Boilt.
huyo ni mbio za akina Bekere, na hakuna kuomba maji! Achana naye aiseee!
 
Yaani kwa style hii unayotumia hata kichaa anayeokota makopo hutampata
 
if someone asks you whether you love gold or not,your answer will be,yes you love gold,if he once again asks have you ever seen gold? I guess you will maintain silence because you have never ever seen gold,but the reason behind to loving it, is simply because gold is precious and valuable,and so do I to misschagga.

People love gold because its value is publicly known.

Anyway,all the best in your love "hunting".

Miss chagga,I also love you too.
 
hahhahhah! nimeshamjua mchawi wangu,ni wewe sister,nikimkosa kabisa misschagga kwa jinsi nilivyompania,naapa nitakufa na wewe,unajua nampenda kiasi gani hadi unaanza kumshawishi? ngoja tutaona,hii game wakuda wote hamtakiwi na nimetoa onyo mapema,take care sana sister na uniachie mke wangu vinginevyo........

Cc😡sister
 
Jamiiforums where we dare to talk openly
 
ni kipi tena hawezi kukushauri sister maana bila hicho wewe huwezi?jamani darling haya maisha tu,tulizaliwa uchi na mali zote tumezikuta duniani,na hapa duniani tunapita tu,nakuomba uwe nami jamani,pesa zipo nyingi mno duniani tutapata tu,usikubali kuolewa na mwanaume mwenye pesa atakusimanga maana hujui kazitoa wapi,hao rafiki zako wanakudanganya,pesa nzuri ni za kutafuta na mumeo ambaye ni mimi sitakuwa na ujasiri wa kukusimanga,na nikifanya hivyo lazima nitafilisika na kurudi nilikotoka,unaweza kudhani ni fiction,ila ipo siku utanitafuta sana humu na hutaniona kamwe,shauri yako,usidanganywe na kioo,nyie wanawake ni maua,you easily fade,wakati wako ni huu mama njoo pm tuyamalize.

Nimekuelewa
 
Back
Top Bottom