Mwanamke huyu anaitesa sana roho yangu

Mwanamke huyu anaitesa sana roho yangu

Maisha yanakwenda kasi sana!! Mkuu miss chagga okoa huyu kijana hapa hakuna utani! Lkn na ww mkuu @I love miss chagga huyu mtu ulishawahi kumuona!? Nakushauri km hujawahi kumuona achana na hizo hisia utakuja kuumia! Huu ni ushauri tu lkn si lazima uuchukue!

mwambie mama moja shangingi la mjini ha ha ha ha ha ha
 
Jibu ni hapana na haitatokea. Ila ni vyema hata kama unafukuzia usijipachike jina hapa mtandaoni. Huyu Miss Chagga nadhani kweli ni mchagga na kawaida yao huwa wanameza ila kama angalikuwa wa kanda ya ziwa lingechimbika hata kama angalikuwa Chinga mwenzangu ingelikuwa soo. Kama unafukuzia PM ipo. imejaa tele Aida sipingi sred kama alivyojinadi ila kujiita mfano I Love Lara ! si sawa, ingawa huwa namfukuzia.

hahaaa, lara yupi....huyuhuyu lara 1 wetu au mwingine?
 
Last edited by a moderator:
kupenda mtu ambae hujawah kumwona to this extent ni hatarii.........kunakua na unrealistic expections nyingi sana henc mkionana hata upendo wenyew unapotea ghaflaaaaa,am speaking from ma own experience!!!!!!!

he already create his on miss chagga sasa sijui akiniona takuja na ugly miss chagga
 
tokea yanitokee yaliyonitokea sijawah tongoza girl ambae hatujawah kuonana face to face!!! nway labda Mungu kamfunulia mwenzetu!!mkikubaliana sio vibaya mkituletea mrejesho hapa....best of luck!!
 
mrejesho noo
 
mwambie mama moja shangingi la mjini ha ha ha ha ha ha
kuna watu huwa wanaamini ni rahisi kuanzisha uhusiano kwa kuangalia mwandiko au sauti! Ukweli hili jambo haliwezekani,na km kuna mahali limewezekana,ni kwa kiwango kidogo mno! Km unahisi unampenda mtu kwa mwandiko wake au point zake,anzisha kwanza urafiki wa kawaida ambao unaweza kuwakutanisha face 2 face,mkikutana huwa kuna mawili urafiki kuimarika au kuvunjika! Km utaimarika,ni rahisi pia kwenu kuingia kwenye mapenzi,km urafiki utaparaganyika,ndo mwisho tena wa kila kitu.
 
there you are mkuu!!
 
well said mkuu
 
naona unamfahamu sana,mpka umeamua kumsemea

Naomba namba yake ya simu aisee, kuanzia lini miss chagga akawa na jitu lisilo na mivuto, liso na hela, lisio na ujasiri wa kumwambia mwanamke sina kiu.... miss chagga anahitaji a real gentle man ..sio viserengeti boy vinavyo adopt majina ya wanawake
 
he already create his on miss chagga sasa sijui akiniona takuja na ugly miss chagga

Kiukweli MISS Chaga una bahati sana ya kupendwa bila kuonekana.Hata mimi nilishaingia kingi juu yako ila niliamua kujitoa kimya kimya. Mzahamzaha hutumbuka usaa.Unamtesa huyo ndugu wakati wewe unacheka.Huyu jamaa yeye kaja na staili yake KAJILIPUA hadharani ili yaishe yaani liwalo na liwe.Acha utani na mambo ya mapenzi.Mapenzi ni kama mmea yanakua kidogokidogo mwisho wa siku mambo yakikua mtu hufanya kama alivyofanya.Kaona prosesi ya kukupata ni ndefu sana yaani PM,SMS n.k. viwe ni hatua za mwisho. Nani kakuambia mama mtu mzima hatongozwi na vijana? Sembuse wewe mdada mdogo tu.Ona uwezekano wa kumaliza maumivu ya mwezio ukatili wako wa mapenzi na vitisho vya kupenda hela havita kusaidia kitu."KUPENDWA NDIO HUKU" "KUPENDWA KUHESHIMIWA".Roho mbaya itakusaidia nini mtoto wa kike.
 
mbona kunichamba hivyo mwee..... nitamalizana nae pm jamani
 
if someone asks you whether you love gold or not,your answer will be,yes you love gold,if he once again asks have you ever seen gold? I guess you will maintain silence because you have never ever seen gold,but the reason behind to loving it, is simply because gold is precious and valuable,and so do I to misschagga.

Hapa lazima akukubali tu, Miss Chaga embu ona jamaa anataabika mweeeeee
 
Miss chagga hongera zako dadangu. thread nzima hii inaonyesha unavyovutia watu humu ndani. Wake kwa Waume wanakukubali. Hiyo ni bahati ya pekee jitahidi kuitumia vizuri kwa ajili ya maisha yako ya baadae.
 
Back
Top Bottom