Mwanamke huyu anaitesa sana roho yangu

Mwanamke huyu anaitesa sana roho yangu

Duh pole sana sana piga goti uombe aisee, haya mabango ya JF hayasaidiii kabisa
 
wanawake wote wanajiuza, ukijua bei yake hakusumbui. sasa kama wewe unaenda umening'iniza pum.bu tu utangoja sana...eti pesa mtatafuta wote, angetaka mtu wa kutafuta naye si angetafuta na baba yake aliyemlea.

hahahahahahaha....hahahahahaaa,,,,yatosha zaidi.......
 
Dear pole. I really feel your pain . What I can say to you is , if that's your heart desire then kneel down and talk to your God . My dear you are an over comer the world because greater is He that is in you than he that in the world , Amen. So if you know that my Sister is your wife then stop looking down , or your income, professional and other things , because you will feel/ get discourage . Dear look up unto Him who can change your story , He is the one who turns things around . Just follow your heart and one day you will be granted . Good Luck.. Thanks..
loveissweet...oooh..love is so sweet! ni hayo tu!
 
Last edited by a moderator:
mhusika hajakerwa, vipi na wewe ulikuwa unafukuzia?
Jibu ni hapana na haitatokea. Ila ni vyema hata kama unafukuzia usijipachike jina hapa mtandaoni. Huyu Miss Chagga nadhani kweli ni mchagga na kawaida yao huwa wanameza ila kama angalikuwa wa kanda ya ziwa lingechimbika hata kama angalikuwa Chinga mwenzangu ingelikuwa soo. Kama unafukuzia PM ipo. imejaa tele Aida sipingi sred kama alivyojinadi ila kujiita mfano I Love Lara ! si sawa, ingawa huwa namfukuzia.
 
Jiamini na kuwa na ujasiri utampata. Vingine ni mbwembwe tu.
 
Maisha yanakwenda kasi sana!! Mkuu miss chagga okoa huyu kijana hapa hakuna utani! Lkn na ww mkuu @I love miss chagga huyu mtu ulishawahi kumuona!? Nakushauri km hujawahi kumuona achana na hizo hisia utakuja kuumia! Huu ni ushauri tu lkn si lazima uuchukue!
 
Last edited by a moderator:
Maisha yanakwenda kasi sana!! Mkuu miss chagga okoa huyu kijana hapa hakuna utani! Lkn na ww mkuu @I love miss chagga huyu mtu ulishawahi kumuona!? Nakushauri km hujawahi kumuona achana na hizo hisia utakuja kuumia! Huu ni ushauri tu lkn si lazima uuchukue!

kupenda mtu ambae hujawah kumwona to this extent ni hatarii.........kunakua na unrealistic expections nyingi sana henc mkionana hata upendo wenyew unapotea ghaflaaaaa,am speaking from ma own experience!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom