miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Ngoja nikae vizuri nichukue data zote ili nimfikishie baba yake
shikamoo .. baba anakusalimia
Ngoja nikae vizuri nichukue data zote ili nimfikishie baba yake
How is it possible to love someone you have never met?
leo mapema tu, nimemwambia Rene Jr awe anatumia maneno ya staha kidogo, jitahidi Miss Chagga labda wewe atakusikia
tiba atapata lakini si unajua ile kitu pesa kasema hana
jamani ...
wanawake wote wanajiuza, ukijua bei yake hakusumbui. sasa kama wewe unaenda umening'iniza pum.bu tu utangoja sana...eti pesa mtatafuta wote, angetaka mtu wa kutafuta naye si angetafuta na baba yake aliyemlea.
hebu nipe tathmin ya moyo wako unajiskiaje kuona kidume kinakulilia hvyo hadharan? Hapo nafkiri jamaa kadata na lile powz la kuongea teh teh
Kwi Kwi mbavu zangu mie! we binti si umeniahidi leo hii hiii utaacha utundu, nimesoma kwa tabu hivyo vimaandishi vidogo nimecheka sana! Sijui dogo unaemtaabisha kavisoma!
kuna wimbo fulani wa lionel richie......sikumbuki unaitwaje......yulee mdada kipofu baadae walipendana na lionel richie......so yawezekana....
BAK saidia hapa kuweka hicho kibao...
tiba atapata lakini si unajua ile kitu pesa kasema hana
what your age?
what are you doing for a living ?
sema sina humu kwenye tecno yangu ila unaitwa Hello!
hana kinogishi cha mapenzi......doh salale.....
Someone is getting lucky 2nite😉
tathmini yangu ya moyo wangu naona utoto mwingi..
huwezi jua bhana japo kuna utani mwingi humu ila mm hapo naona jamaa ana umia kiukwelikweli..
Lakn na yeye kwann asikufuate kando?
kile hana sasa mweee