DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,636
- 81,533
Morning.
Kuna Dada mmoja alimpata kijana mmoja akiwa na only 20 years .
By that time Huyo Dada mchumba wake wote walikuwa wanasoma.
Baadae yule Dada alimaliza masomo yake na kujariwa na Mwananchi na baadae BBC.
Na yule Kijana alimaliza masomo yake akaenda jeshini na Kuwa na cheo kikubwa tu.
Ila Baada ya muda fulani yule Kijana akaamua kuoa Mwanamke mwingine na maisha yakaendelea.
Yule Dada aliendelea kukataa wanaume walionesha interest za kumuoa .
Pamoja na kupewa taarifa kuwa mchumba wake ameshaoa , Ila aliendelea kumfatilia over 20 yrs
Na mwisho wa Mchezo Yule Mwanajesha alipata kes ya mambo ya fedha na akafungwa na Mwanamke alipata ajari mbaya Sana ya gari. na sasa ameokoka ila bado anamfatilia mwnaume alitemkataa .
So mchezo uliisha hivyo .
Ila wanawake wengi Ku -Move on ni ngumu Sana.
Kwahiyo ni jukumu la wanaume Ku -play fairy .