Mwanamke, Hata wewe unayo haki ya kutoa talaka...!

Mwanamke, Hata wewe unayo haki ya kutoa talaka...!

slide-123.jpg





Wamekuwa wakiogopa kudai talaka kwa kudhani kwamba, wao hawapaswi kuomba talaka, bali wanaume ndio wanaopaswa kufanya hivyo na pia wamekuwa wakiamini kwamba, mwanamke kuanza kuomba talaka ni aibu kwa jamii.
Lakini mbaya zaidi ni ile hofu wanayokuwa nayo kuhusu kile ambacho wanaume zao wanaweza kuwafanyia wanapoomba talaka. Huhofia kwamba, kama wanaume hawaridhiki na wao kuomba talaka, wanaweza kuwafanyia vitendo viovu baada ya talaka.

Huogopa kwamba, wanaweza kuwanyang'anya watoto, huogopa kwamba, wanaweza kuwafanyia fujo kila watakapokutana nao, huogopa kwamba, hawataweza kuwagawia mali waliyochuma pamoja na pia kuna hofu kwamba, wanaweza kuwauwa, hasa ikiwa ni juhudi ya kuzuia uwezekano wa kuja kugawana mali.

Ukweli ni kwamba, wanawake hawa wanapaswa kujua kwamba, wao hawawezi kujua vipengele vingi au vyote vya kisheria. Kwa sababu hiyo, wanapohisi kwamba, hawawezi tena kuvumilia vurugu za kindoa zinazowakabili, wanapaswa kuwaona wanasheria ili kuyaendesha mambo kisheria zaidi.

Kama hawana uwezo kifedha, siku hizi kuna taasisi zinajua namna ya kuwasaidia wanawake hawa, hata kama hawana uwezo. Taasisi kama TAWLA au WLAC zimekuwa zikifanya kazi hiyo kwa muda mrefu sasa na zimesaidia wengi.


.

hapo bold sio kweli. halafu umechanganya mada mbili tofauti.

labda turudi utueleze kisheria maana ya neno KUDAI TALAKA na KUTOA TALAKA. je wataka kusema maneno haya ni ya kufanana?? je yana mana moja??

kumbuka kwamba anaye dai husubiri kupewa kulingana na matakwa ya mtoaji ila nayetoa hutoa kulingana na matwakwa yake mwenyewe. bado sheria zetu za ndoa hazijafika hapo unapofikiri wewe.

ngoja nikwambie hivi unajua hata kwenye kudai talaka kwenyewe mahakamani kuhusiana na uzinzi ni lazima mahakama iwe na ushahidi wa kutosha iwe ni kwa kufumania live kwamba mtu mume na mke wapo utupu kwa nia ya kufanya hilo tendo?? kwa maana nyingine lazima uthibitisho uwepo??
 
Endapo mwanamke ataithibitishia mahakama kuwa ndoa yao imeshavunjika (irreparably broken) kutokana na sababu mbali mbali basi mahakama itaitengua hiyo ndoa hata kama mwanaume atadai kuwa bado anampenda mkewe. Mahakama inapotengua ndoa hakuna cha mwanaume kutakiwa kutoa talaka. Divorce Order ya mahakama inatosha.

and that is something else.
sasa mimi nabisha kuhusu swala kwamba mwanamke ameomba talaka je akiomba talaka utasema amemtaliki mumewe?
 
Wala sijapotosha lara 1.
Ukweli ni kwamba wengi mnaishi kwa mazoea, na ni kwa sababu ya mfumo dume + rushwa iliyokithiri katika sekta za kudai haki mpaka kwenye taasisi za dini ndio maana mnaona ni mwanaume tu ndiye mwenye haki ya kumuacha mke.
Kama ukifuatilia kwa mujibu wa vipengele vya sheria na hata katika dini, mke ana haki ya kumuacha mume. Je anamuacha kwa njia gani hapo sasa ndipo mnapojichanganya.
Kama atakwenda mahakamani na kudai kutaka kuachana na mumewe na mahakama ikaamua hivyo, si ndio kutaliki kwenyewe huko...?

Hichi ndo nlikuwa natafuta
ukipigwa kibuti na mwnamke,its still the same..umeachwa
sasa mi ninachoona ni pale tu tunapotaka aliyeandika talaka ndo mwenye maamuzi while in reality ameachwa and demanded atoe hiyo talaka
if i file for divorce that means mimi ndo nimekudivorce,ukubali or not,i made the decision of leaving you in the first place.ego!

kuna passage kwenye bible:mark 10
"whoever divorces his wife and marries another woman commits adultery against her and if she herself divorces her husband and marries another man she is committing adultery"

with that quote,can we agree as per christianity its acknowledged to divorce a man?but not right for both sexes.
 
mkuu Mtambuzi angalia chini hapo kwenye topic info. utakuta mtu anatumia jina lako angalia kwa makini
 
Last edited by a moderator:
watu8 signature ......."Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"

Ni kweli hizo ni stori za bongo lakini kila mara nikikutana na maneno kama haya huwa nakumbuka signature ya Mkuu Watu8. Naomba ipitie halafu utabaini ninachosema.
 
Last edited by a moderator:
mmh!!! Hapa umekuwa too biased aisee broda!!
Sio biased dada gfsonwin jaribu kuchunguza utagundua nilichosema. Unapoona kila siku matatizo yanatokea kwako ni vizuri ukaomba ushauri jinsi yakuepukana nayo kuliko kujumlisha na kuhitimisha kwamba wote ni wabaya. Wapo wanafahamika humu ipo siku wataorodheshwa rasmi na hata wewe unawajua.
 
Yeah nakubaliana na wewe lara 1, lakini kama umenisoma vizuri ninamaanisha kwamba, mwanamke anaweza kutdai talaka na kumuacha mume mkorofi kwa kufuata sheria na akamuach huyo mume na kupewa haki zake zote anazostahili ikiwapo kinga ya kutobughudhiwa na huyo mume.

Sijui umenipata..?

Anahaki ya kudai, maamuzi ya kutoa talaka yanabaki kwa mume
 
mkuu Mtambuzi angalia chini hapo kwenye topic info. utakuta mtu anatumia jina lako angalia kwa makini

kwa jins jf ilivyo ni tabua sana kwa mtu kuwa na id name inafana na ya mwingine. na ukiona mtu anatumia id ya mtu basi jua kwamba anatuia pasword yake.
kwenye topic info wote ambao ni membaz wa forum na wako active kwenye uzi husika huorodheshwa. hata kama wewe ndo mwenye uzi.
 
samahani hukunielewa vizuri nazungumizia jina halisi na sio id yake wewe angalia vizuri nadhani Mtambuzi amenielewa hapo
kwa jins jf ilivyo ni tabua sana kwa mtu kuwa na id name inafana na ya mwingine. na ukiona mtu anatumia id ya mtu basi jua kwamba anatuia pasword yake.
kwenye topic info wote ambao ni membaz wa forum na wako active kwenye uzi husika huorodheshwa. hata kama wewe ndo mwenye uzi.
 
Last edited by a moderator:
Hapo hakuna Ujanja!

Either MWANAUME akupe au MAHAKAMA ndo ikupe talaka. Ila mwanamke kama mwanamke huwezi kumuandikia Mumeo Talaka 3. Hata ukijitia nunda bado hizo talaka zako sio Legally Recognized, bado ni mumeo!

Mfumo dume bado sanaaa kwenye sekta ya sheria.


Ni kweli kabisa mkuu lara 1 ila kwa wenzetu weupe ni kawaida kabisa.
 
Last edited by a moderator:
hapo bold sio kweli. halafu umechanganya mada mbili tofauti.

labda turudi utueleze kisheria maana ya neno KUDAI TALAKA na KUTOA TALAKA. je wataka kusema maneno haya ni ya kufanana?? je yana mana moja??

kumbuka kwamba anaye dai husubiri kupewa kulingana na matakwa ya mtoaji ila nayetoa hutoa kulingana na matwakwa yake mwenyewe. bado sheria zetu za ndoa hazijafika hapo unapofikiri wewe.

ngoja nikwambie hivi unajua hata kwenye kudai talaka kwenyewe mahakamani kuhusiana na uzinzi ni lazima mahakama iwe na ushahidi wa kutosha iwe ni kwa kufumania live kwamba mtu mume na mke wapo utupu kwa nia ya kufanya hilo tendo?? kwa maana nyingine lazima uthibitisho uwepo??
Mie nazungumzia swala la mwanamke kumwacha mume mkorofi, na wewe hapo kwenye bold unazungumzia swala la Ugoni, huoni kama unachanganya mada?
gfsonwin, vipi bana.....!
 
Last edited by a moderator:
and that is something else.
sasa mimi nabisha kuhusu swala kwamba mwanamke ameomba talaka je akiomba talaka utasema amemtaliki mumewe?
What difference does it make....!!!
gfsonwin..
 
Last edited by a moderator:
Naitaji ushauri toka kwako kwani comment zako zinanigusa sana
sio biased dada gfsonwin jaribu kuchunguza utagundua nilichosema. Unapoona kila siku matatizo yanatokea kwako ni vizuri ukaomba ushauri jinsi yakuepukana nayo kuliko kujumlisha na kuhitimisha kwamba wote ni wabaya. Wapo wanafahamika humu ipo siku wataorodheshwa rasmi na hata wewe unawajua.
 
hapo bold sio kweli. halafu umechanganya mada mbili tofauti.

labda turudi utueleze kisheria maana ya neno KUDAI TALAKA na KUTOA TALAKA. je wataka kusema maneno haya ni ya kufanana?? je yana mana moja??

kumbuka kwamba anaye dai husubiri kupewa kulingana na matakwa ya mtoaji ila nayetoa hutoa kulingana na matwakwa yake mwenyewe. bado sheria zetu za ndoa hazijafika hapo unapofikiri wewe.

ngoja nikwambie hivi unajua hata kwenye kudai talaka kwenyewe mahakamani kuhusiana na uzinzi ni lazima mahakama iwe na ushahidi wa kutosha iwe ni kwa kufumania live kwamba mtu mume na mke wapo utupu kwa nia ya kufanya hilo tendo?? kwa maana nyingine lazima uthibitisho uwepo??

Mie nazungumzia swala la mwanamke kumwacha mume mkorofi, na wewe hapo kwenye bold unazungumzia swala la Ugoni, huoni kama unachanganya mada?
gfsonwin, vipi bana.....!
Mtambuzi uwe basi unatulia kusoma ukaelewa nini kilichoandikwa.
mbona uliruka kuyasoma hayo maneno ya bold red??
neno hata hapo limetumika kama kiunganish ila kimeunganisha vitu bayana na visivyo bayana kwa wakati mmoja.
niliposema hata nilimaanisha kwamba ulinganishe hata kwenye hili.
 
Last edited by a moderator:
Hichi ndo nlikuwa natafuta
ukipigwa kibuti na mwnamke,its still the same..umeachwa
sasa mi ninachoona ni pale tu tunapotaka aliyeandika talaka ndo mwenye maamuzi while in reality ameachwa and demanded atoe hiyo talaka
if i file for divorce that means mimi ndo nimekudivorce,ukubali or not,i made the decision of leaving you in the first place.ego!

kuna passage kwenye bible:mark 10
"whoever divorces his wife and marries another woman commits adultery against her and if she herself divorces her husband and marries another man she is committing adultery"

with that quote,can we agree as per christianity its acknowledged to divorce a man?but not right for both sexes.

Thank you tracy
Can I offer you a DINNER tonight...

Oh La la....

Copy to lara 1, gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom