Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,526
- 146,054
sivyo hivyo unavyofikiria wewe hakuna mtu anayeweza sema jambo hilo kiwehuwehu tu au kukurupuka ovyo na kusema popote pale pasipohusika, huwa anakaa faragha na mwenzie na ndipo anapotamka yaliyomoyoni mwake, na hapo ndipo inatokea hilo lililotokea ushanipata hapo bestito?
Kwa hiyo kumbe kuna miongozo? Kama ipo kweli, imeandikwa sehemu? Maana kwa jinsi alivyoiwasilisha bwana Mtambuzi ni kana kwamba mwanaume anaweza akasema hivyo popote pale na katika hali yoyote ile (hata kama kalewa ulanzi), na ndiyo maana nikashangaa.
Ila sasa, kama kauli ya mwanaume tu ndiyo ya mwisho, hakuna hata hitaji la mashahidi? Huko faragha wanakuwa wao wawili tu?