Mwanamke, Hata wewe unayo haki ya kutoa talaka...!

Mwanamke, Hata wewe unayo haki ya kutoa talaka...!

gfsonwin, mahari ilikuwa na maana hiyo unayoizungumzia miaka ya 1947 na si kwa kizazi hiki cha Dot Com.
Siku hizi kwa mfumo wa mahari mwanamke anachukuliwa kama bidhaa na ndio maana baadhi ya wanaume waliolipishwa mahari nyingi hujimilikisha mwanamke kama chombo cha kumtumikia na si binadamu mwenzie mwenye haki sawa na yeye.

Hebu sikia jibu na mwanaume anayeulizwa anakwenda wapi na mkewe...
utasikia anajibiwa.. "Unaniuliza nakwenda wapi, wewe ni kama nani..."

Hiyo dhana yako ni ya kale mno, siku hizi ukichukua mahari ni sawa na kumuuza binti yako, wankwangu mie kina Ngina nitawagawa bure...

Copy to: King'asti, Kipipi, Asnam, Paloma


mimi ni practical example, tlikorofishana na mke wangu akashauliwa aondoke nikamsii mke wangu asiondoke lakin kwa ushauri wa dadake aliamua kuondoka, sasa ni zaid ya miez6 atjatiana kote kote pia machon ikiwemo, ndg zangu miez mi3 tu inatosha kunullify ndoa
 
Niliwahi kuyasema haya.
Binafsi mie huwa napinga sana kuhusu swala la MAHARI. nilisimama kidete kwa dada yangu kuozehwa bila kulipiwa mahari, ingawa baba alitaka sana kuchukua hiyo mahari lakini nilimwambia toka apokee mahari kwa dada zangu waliotangulia ni kitu gani amenufaika nacho au amebadilika kimaisha kwa kiasi gani.
Alikubaliana na mimi japo kwa shingo upande.


Na nilimwambia dada yangu kama maisha ya ndoa yakimshinda ajiondokee maana hatukuchukua chochote kwa mumewe...

Hivi kwani mahari ndo inambana mwanamke hata kama ananyanyasika kwenye ndoa? nauliza coz wako wanawake wenye uwezo wa hata kulipa hizo mahari......ni namna tuu ya mwanamke kujiamini na kujua namna ya kujitoa kwa mwanaume dhalimu.
 
Ndani ya dini ya kiislam na ikiwa mwanamke anaona mwanamme anaeishi nae hakuwa changuo sahihi kwake au hajisikii kuwa nae kama mme. Ni rahisi mwanamke hatoi kitu kinachoitwa talaka. Bali anafanya KHULUI. Yaani anajivua ndoa (au lugha nyingine ni sawa na kujikimboa) yaani mwananmke anapaswa kumpa mumewe pesa ambayo itamwezesha kuoa mke mwingine. Gharama za ndoa then mwanamke anakuwa huru au nae kuamua kuolewa na mwingine. Ni jambo ambalo kisaikolojia ni gumu kufanya hivyo Bali kama kweli kachoshwa na ndoa ataweza kuzitafuta na kutoa gharama hizo. Lkn sio jamii kubwa ya jamii ya kiislam wanajua jambo hili Bali inapotokea nyumba kuwa na matatizo wanawake wengi wanaamua kufanya zinaa au hata kutafuta mimba nnje ya ndoa yake. Shame
 
mara useme mjomba wako mara mwanao nahisi wewe una matatizo sasa kwaheriiiiiiiii
Nashukuru. Wahenga walisema kuuliza si ujinga.

Kumbuka nilikuuliza picha ulioiweka ni ya nani nayo pia ni matatizo haya nakutakia kila la heri.
 
Ha ha haaaaa! Kuna swali nilitaka kukuuliza nimesita maana lingezua mjadala ambao nisingeweza kuufunga. Mie mzima rafiki.

hhahahahha kama hapa hauko free njoo chemba, mwita asione lakini manake nasikia siku hizi anatumia ndumba
 
Sasa we babu cjui bb(mtambuzi),kumbe umeolewa kwa ndoa ya kimila afu unahadaa wenzio waliolewa kwa utaratibu rasmi unaotambulika kisheria kuwa kuwa mwanamke ana mandate ya kutoa talaka km mwanaume!nyie ndo mnawaharb dada ze2 na vjimovement vyenu vya kuipotosha jamii "chungwa ni sawa na embe"
 
Back
Top Bottom