Nakiri kwa herufi kubwa maisha yangu hayaendeshwi na sheria yeyote ya ndoa na wala sijui nasitaki kuzijua na japo nina ndoa takatifu ya kikristo ,aim the controller of my own life ,ndoa haitanizika wala jamii haitasikia maumivu yangu ,talaka ninaweza toa bila hata kisheria kwani wakati tunakutana hatukukutania mahakamani wala kwenye baraza la wazee, etc so hata kuachana tutaachania pale tulipokutania na talaka ni neno na sio maandishi kwani at first hatukuandikiana hayo mengine ylikuja tu mbeleni ambayo siyatake very serious kamwe.mioyo mingi imejilaza kwenye mali na faida za dunia ndi sababu kudai talaka au kotoa tallaka inakuwa shida mtu anawaza nikimpa talaka tutagawana mali mimi nakuachia zote naokoa nafsi yangu tu!
1.kama ndoa imenishinda nakuaga tu kwamba nafikiri hatujaweza kuelewana wacha tuachane
2.kama utaona ni umuhimu wewe fuata sheria zilizotuunganisha mimi sipotezi muda zaidi ntatembea na RB usinifanyie fujo
3.talaka ni makubaliano kama tulivyotongozana
4.nina uhuruu wakuishi nitakavyo mimi juu au chini ya sheria ya ndoa maana nikivunjwa taya maumivu hayaaandikiki wala sheria na talaka haziyasikii nayasikia mimi.,nikifanywa kilema ni imekula kwangu na sio kw ahuyu msimamizi wa ndoa wala mahakama wala hizo talaka
5.uvumilivu ni muhimu sana katika ndoa ,ila usivumilie ambapo hakuna suluhisho changanya akili kama uliishi na mtu 2,3,4,5,yrs habadiliki ni kwamba hata badilika hata ifanye nini so toa talaka ikumbukwe pia kila mtu anaingia kwenye ndoa na lengo lake ,akikanyaga nyanya aweze kulipa! aishi vyema !kuzaa na kuongezeka ni last option kwa ndoa nyingi sana ,mind u hawa watu wamekutana ukubwani! ni kuishi kwa akili sana nao !mimi naishi kwa amani sana maana siamini katika makaratasi naamini katika makubaliano ya kwanza na kwangu kila siku ni leo its not too late to start afreash ,thats why natumia hekima na heshima kuishi lakini kunyanyaswa no!talaka ni mdomo wangu sheria unaijua wewe !
Nafikiri bado natumi mila na desturi za mababu zetu.